Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Kufuatia kuibuka kwa kampuni feki za nje hapa tanzania na kuisababishia serikali hasara kubwa.je, kwa taratibu za usajili wake chini ya sheria ya Makampuni ya 2002 yaani (THE COMPANIES ACT, 2002)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
25th May 2011 Mvulana mwenye umri wa miaka 14, mkazi wa kijiji cha Senani kata ya Ipililo wilaya Maswa mkoani Shinyanga, amehukumiwa kifungo cha maisha jela na kuchapwa viboko sita akiwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakubwa Msaada tutani tafadhalini...! Contract ya miaka miwili ninaimaliza 30th ya next month na I don't feel ku-renew. Je nalazimika kutoa notisi ya intent of not going to re-new contract?? Ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wa tz wenzangu naomba mwenye kuweza kuwa au kupata sheria za mikataba kwa tanzania animwagie copy hapa ninashida nayo sana. Ndugu nisaidie kwani muda si mrefu haki yangu nitanyanganywa. Nataka...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Chanzo blog ya Francis Godwin,Iringa MAHAKAMA ya hakimu makazi mkoa wa Iringa kwa mara ya pili imemwachia huru aliyekuwa mshindi wa kura za maoni ndani ya chama cha mapinduzi (CCM) katika...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
THE Parliamentary Justice and Constitutional Affairs Committee has recommended legalisation of cultivation of a narcotic plant, known as bhang, to boost incomes. The committee made the...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
KIONGOZI wa Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (chadema) Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara ( jina linahifadhiwa) anashikiliwa polisi akidaiwa kufuja Sh 600,000 fedha za mfuko wa Elimu wa wakazi wa...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Mambo aliyodanganya Dr. Slaa 1. Kwenye Rada kulikuwa na Rushwa 2. Kuna wizi wa EPA ulifanyika 3. Kuna rushwa katika ununuzi wa ndege ya Rais 4. Kuna Rushwa kwenye ununuzi wa umeme wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Catholics wary over Mutunga Updated 41 min(s) ago Related Stories...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimetazama documentary moja kuhu Miami Mega Jail. I have just been shocked kuona kumbe baadhi ya jela/ Rumande za huko USA hazina tofauti na jela zetu. Tena mbaya zaidi hizo kwao sio Jela ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tafadhali naomba kama kuna mtu anayeweza kunisaidia sample ya mkataba ya kupangisha fremu ya duka... naomba anisaidie. Asante!
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Naombeni mnisaidie maswali haya. 1. If the International Court of Justice could not find solution in one source to settle a dispute between two nations it has to refer to another? Explain in...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Superinjunctions...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wana JF naomba kujuzwa kujua sheria inayo govern online defamation na pia katika sheria za Tanzania Internet service provider ni wakati gani atakuwa liable na kwa sheria gani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bandugu, Ninakaribia kurudi nyumbani, ila nina vitabu ninavyovitumia binafsi kwa malengo ya elimu. Nakumbuka kusikia kuna vitabu vilishawahi kupigwa marufuku Tanzania (najua vingine kwa uhakika...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanasheria naomba msaada wenu. Hivi kama mtu ana ndoa ya kanisani(RC) na baadae akaenda akafunga ndoa kiserikali(civil) je 1)kote huko anapata vyeti?Maana nasikia kote huko vyeti vinavyotolewa ni...
0 Reactions
21 Replies
12K Views
NDUGU JAMAM NA MARAFIKI NIMEONA WATU WENGI WANAULIZA NANI ANAHAKI KUFUNGISHA NDOA NA NDOA IPI INAYO TAMBULIKA KISHERIA NA NANI ANAYR RUHUSIWA KUFANYA HAHYO??? NIMEONA NIWASAIDIE KUWA MWONGOZO...
0 Reactions
0 Replies
19K Views
Brazil’s Supreme Court has issued a ruling making same-sex unions equivalent to marriage. Auxiliary Bishop Henrique Soares Costa of Aracaju, Brazil said the court’s ruling was anti-democratic...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi karibuni imeripotiwa kuwa Serikali imepima viwanja vipatavyo 20,000 huko Kinyerezi> Lengo kuu la uanzishwaji wa upimaji huu ni kuhakikisha kuwa Watanzania wanaacha ujenzi holela, wanakuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF. Rafiki yangu anatuhumiwa katika kesi, jana baada ya kufika mahakamani na kusikilizwa kesi yake kwa mlalamikaji kuleta shahidi Hakimu wakati anaahirisha kesi alimwambia...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom