Jela ni jela iwe usa au tanzania zaweza fanana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jela ni jela iwe usa au tanzania zaweza fanana

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mtazamaji, May 23, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nimetazama documentary moja kuhu Miami Mega Jail. I have just been shocked kuona kumbe baadhi ya jela/ Rumande za huko USA hazina tofauti na jela zetu.

  Tena mbaya zaidi hizo kwao sio Jela ni rumande za watu mabo bado hawajapatiana na makosa. Angali hizi clip
  1


  2


  3


  endelea na clip zingine youtube
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...