Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Standard Newspaper
All the Ocampo Six cases will now proceed to confirmation hearing after Government failed to stop them through an admissibility challenge and claims of fresh CID...
Heshima kwenu wana jf.kwanza kabisa natoa shukrani kwa wote ambao mmekuwa mkitoa ushauri na maelekezo ya namna ya kutatua matatizo. Ndg zangu kuna jambo nimelisikia eti kati ya kesi 100...
Kwa kutokuelewa,au kutokujua,baadhi ya wafanya biashara wameshindwa kufanya shughuli zao kwa uhuru kufuatia marufuku iliyowekwa kwa amri(sijui) au kwa sheria(sijui) kusafirisha mazao ya chakula...
Ndugu wa marehemu na watu waliokatwa miguu, kwa ajali aliyoisababisha Jaji Rugazia, bado wanasumbuliwa na Jaji yupo kazini na wala hajafikishwa mahakamani, au kutoa tamko lolote li haki itendeke...
Asalaama Aleykum/Bwana Yesu asifiwe sana.
Wana Jamvi, hivi ndoa ya Kiislam inaruhusu mwanamke kutoa talaka pale mwanaume anaposhindwa kufanya hivyo? Kama ni kweli ni hatua gani zichukuliwe ili...
Habari za jioni wana jf hivi tabia ya polisi kuwabambikizia makosa rahia itaisha lini sio siri inaniuma sana umefanya kosa kidogo utapewa kosa hilo adi utashangaa utasikia umevunja maduka ya...
BBC News
Ex-Bosnian Serb army head Ratko Mladic has made his first appearance at The Hague war crimes tribunal, saying he will not enter a plea to the "monstrous" and "obnoxious" charges.
He...
Hati ya mashtaka ndiyo inayoanzisha rasmi mashtaka dhidi ya mshtakiwa yeyote wa makosa ya jinai.Hati hiyo hutayarishwa kwa msingi wa kisheria ambapo lazima izingatie masharti kadhaaa muhimu
Kwa wanasheria.Hapa tunapata funzo gani
Soma hii story chini.
nimeipata hapa
Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es salaam, leo imekataa kupokea hati ya kiapo ya rais mstaafu...
NINA RAFIKI YANGU ALIKIUWA NAKESI HUU MWAKA KARIBU WA12.IPO HIVI BABA YAKE ALIKUWA ANAMILIKI ENEOMAENEOYA FERY KIGAMBONI KABLA YA SERIKALI HAIJAPIMA ALIKUWA YUPO HAPO.WAKATI SERIKALI INAPIMA...
Fr. Sseppuuya presiding over the wedding of Martin Okumu Masiga and Margaret Mbakire Kyakuwa in Kampala in 2006
By VISION REPORTER
A Catholic priest has been dragged to court for allegedly...
Wadau, bila shaka mwajua mpango wa serikali kujenga mji wa kisasa Kigamboni. Vikao kadhaa vimefnyika baina ya wakazi wa huko na Serikali lakini hakuna mwafaka ingawa serikali imeahidi fidia kubwa...
Habari wakuu,
Mimi nimekuwa nafanya kazi na wajerumani katika mradi fulani hapa Tanzania. Niliajiriwa nao pindi tu nilipomaliza degree ya kwanza, bahati nzuri baada ya kukaa nao kama miezi nane...
wanajf ninaomba msaada wa kisheria kuhusu hili.namdai mtu shilingi milioni tano.hatukuandikishana popote nilipokuwa nampa hizo pesa.yeye anakiri kwamba namdai ila kulipa ndo anasumbua.nimejaribu...
Wandugu nina hali mbaya mwajiri wanagu anataka kunipiga chini kazi. Naombeni mwenye nakala ya sheria ya kazi Tanzania aiweke jamvini ni-download na kujisomea ili nizijue haki zangu katika kipindi...
ndugu zangu wanajukwaa hili naomba kwa anaejua namna malipo ya fidia yanavyofanywa kwa mtu ambaye barabara ndilo limemfuata,naomba nipewe utaratibu mzima na bei na vipimio vitumiwavyo na bei...
wana jf naombeni eilimu juu ya haya
1.kuna madhara gani nikipangisha nyumba bila mkataba.
2.je mkataba wa kupangisha nyumba nautoa wapi-je naubuni tu mwenyewe.na kama nikiubuni tu mwenyewe...
Na Benjamin Masese
KESI ya ya wizi wa mabilioni ya fedha katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ya Benki Kuu Tanzania (BoT) inayowakabili, Bw. Johnson Lukaza na
ndugu yake Mwesiga Lukaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.