Dr. Slaa kasema Kweli ndio maana hajafikishwa mahakamani!

Papa D

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
753
182
Mambo aliyodanganya Dr. Slaa
1. Kwenye Rada kulikuwa na Rushwa
2. Kuna wizi wa EPA ulifanyika
3. Kuna rushwa katika ununuzi wa ndege ya Rais
4. Kuna Rushwa kwenye ununuzi wa umeme wa Richmond/Dowans
6. Kuna Wizi kwenye Kagoda
7. Kuna Wizi kwenye Meremeta
8. Ugumu wa maisha unatisha Tanzania
9. Uchaguzi ulichakachuliwa
10. Uuzaji nyumba za Serikali uligubikwa na Rushwa
.
.
.
.
.
DO YOU THINK ALL THOSE ALLEGATIONS ARE CRAPS?

KWA MWANA CCM NA CUF ULIOMO HUMU JAMVINI:-
1. JE, UNAFIKIRI HAYO YOOTE NI UONGO NA UROPOKAJI?
2. KIPI MUHIMU KATIKA MAISHA YAKO; ITIKADI ZA CHAMA CHAKO AU UBORA WA MAISHA YAKO?
3. UNAFIKIRI INGEKUWA NI UONGO Dr. SLAA ANGEKUWA MTAANI ANAZUNGUKA HURU? KAMA UNAFIKIRI ANGEKUWA HURU MUULIZE MTIKIRA NA IDADI YA KESI ZINAZOMUANDAMA!!
 
Hao wanaosema Dk. Slaa Muongo wanahisa zao kwenye kila ufisadi uliotajwa hapo juu. Dk. Slaa akaze buti na tunasubiri amtaje aliyeibia wananchi kwa tujifanya muhindi wa TRL.
 
Mtoto wa Rais ni fisadi
TRA ni wazembe kusababishia hasara taifa mamillion ya shilling.

....... hawa nao wanasubiri nini kumpeleka mahakamani?
 
Rada ina rushwa ndo maana hela imerudishwa na uingereza,meremeta ina rushwa ndo mana serekali iko kimya kuchunguza,swali la zito kwa waziri mkuu bungeti halikujibiwa juu ya meremeta na deepgreen.epa ndo kabisa wapo watu wote wa magamba na sekretariet yote.na mengine yote hayo ni ufisadi mtupu ndo mana sirikali haitaki kujibu wala kumshtaki rais wa wanyonge,rais wa wenye shida,rais wa masikini na wasio na matumaini dr slaaa.yaliyotokea jana yanadhihilisha kuwa chama cha magamba kimechokwa na wananchi na bado wabunge wengi tu watapigwa mwaka huu mpaka kieleweke.cdm kazaneni,cuf kaolewa ila hana kauli ndani ya nyumba.
 
mambo aliyodanganya dr. Slaa
1. Kwenye rada kulikuwa na rushwa
2. Kuna wizi wa epa ulifanyika
3. Kuna rushwa katika ununuzi wa ndege ya rais
4. Kuna rushwa kwenye ununuzi wa umeme wa richmond/dowans
6. Kuna wizi kwenye kagoda
7. Kuna wizi kwenye meremeta
8. Ugumu wa maisha unatisha tanzania
9. Uchaguzi ulichakachuliwa
10. Uuzaji nyumba za serikali uligubikwa na rushwa
.
.
.
.
.
do you think all those allegations are craps?

kwa mwana ccm na cuf uliomo humu jamvini:-
1. Je, unafikiri hayo yoote ni uongo na uropokaji?
2. Kipi muhimu katika maisha yako; itikadi za chama chako au ubora wa maisha yako?
3. Unafikiri ingekuwa ni uongo dr. Slaa angekuwa mtaani anazunguka huru? Kama unafikiri angekuwa huru muulize mtikira na idadi ya kesi zinazomuandama!!

wew una uhakika gani kama kadanganya? We ndio muongo, mbona uzee unakujia vibaya ndugu yangu?
 
Mambo aliyodanganya Dr. Slaa
1. Kwenye Rada kulikuwa na Rushwa
2. Kuna wizi wa EPA ulifanyika
3. Kuna rushwa katika ununuzi wa ndege ya Rais
4. Kuna Rushwa kwenye ununuzi wa umeme wa Richmond/Dowans
6. Kuna Wizi kwenye Kagoda
7. Kuna Wizi kwenye Meremeta
8. Ugumu wa maisha unatisha Tanzania
9. Uchaguzi ulichakachuliwa
10. Uuzaji nyumba za Serikali uligubikwa na Rushwa
.
!![/COLOR]
Well constructed, and well framed...Mvivu wa kufikiri atadhani una agenda ya siri!
 
ndio maana ri1 alipiga mkwara na kiingia mtini, anajua mzee wetu ni mkweli na mkuu wa kaya ni kanjanja
 
wew una uhakika gani kama kadanganya? We ndio muongo, mbona uzee unakujia vibaya ndugu yangu?

Ndugu!

Post yangu hukuisoma kwa umakini!!
Tafadhali rudia tu kuisoma kwa utulivu utapata nlichotoa kichwani mwangu na kuweka mtandaoni!!
 
Ndugu!

Post yangu hukuisoma kwa umakini!!
Tafadhali rudia tu kuisoma kwa utulivu utapata nlichotoa kichwani mwangu na kuweka mtandaoni!!

hata mimi nimemsoma ajakuelewa kakulupuka amezania umemsema vibaya dk slaa raisa wangu
 
ndio maana ri1 alipiga mkwara na kiingia mtini, anajua mzee wetu ni mkweli na mkuu wa kaya ni kanjanja

Tumeshawazoea hao, wakilipuliwa huwa wanalipuka kuliko moto wa petroli. Nawapa siku saba vinginevyo nawapeleka mahakamani. Baada ya hapo hawaonekani tena.
R1 nae aliiga, walishindwa akina karamagi itakuwa yeye?
 
>>kwenye halmashauri kuna ufisadi mwingi !
>>miradi mingi ya maendeleo imejaa rushwa!
>>mchakata wa vitambulisho vya taifa unanukia ufisadi!
>>r...one kj ....haendani na utajiri wake!
>>ununuzi wa magari ya kampeni ya sisi m ulijaa rushwa!
>>ugawaji viwanja vya serikali unanuka rushwa!
>>serikali imejaa mafisadi!
>>hatuwezi kulipa dowans kwa kuwa richmond iliyoiachia dowans mkataba ilikuwa hewa!
>>mshahara wa watumishi hautoshi!

haya yote amekuwa akisema dr slaa je haya maneno ni uongo???
anayesema uongo aende mahakamani!
 
Kwa mtazamo wangu, pamoja na kwamba c mwanachama wa chama chochote cha siasa Dr Slaa ni 98.9% mkweli. why?
1. EPA ishajieleza yenyewe na watu wanatarajia kwenda kuny....... ndoo
2. Richmond imeleta mgawanyiko mkubwa ktk CCM tumeshuhudia bungeni
3. Kwenye radar waingereza wenyewe wamekiri kuwa dalili za rushwa na wamekubali kufidia na Membe akawa ana pingina na utaratibu wa malipo hayo back to tz
4. PM Pinda mwenyewe kwa mdomo wake walikiri kuwa issue ya Meremeta ni ya Usalama wa Taifa hawezi tia mguu huko na iachwe kama ilivyo

5.Kagoda: kuna makala moja nzuri sana ya Mwanahalisi (nimeisahau ya tarehe gani) kuhusu Kagoda kuhusishwa na Mhindi maarufu nchini na mdhamini wa Timu moja kubwa ya DSM kuwa alikuwa ndiye mdhamini wa mkopaji wa Kagoda chini ya Mwanyika by then, ingawa serikali ilitoa kauli ya hawamfahamu mmiliki wa Kagoda

Kwa hayo machache nasema Slaaa ni mkweliiiiiii.

Wanajamvini nipeni maksi huenda naota ndoto za mchana hapa
 
Tatizo la CCM bado wana siasa zile za enzi ya kudai uhuru!!
Siasa hizi ni za mtindo wa kushambulia mtu si Sera/hoja. Mtindo huu wamerithi kutoka kwa wakoloni. kwa CCM ukiwapinga wanaanza kukushambulia wewe badala ya kushambulia hoja zako.
Mtindo wa kushambulia mtu badala ya hoja zake zinapatikana katika watu wenye moja au baadhi ya sifa hizi:-
1. Wezi/corrupted mind[crooks/thieves]
2. wenye IQ ndogo inayokaribia kwenye ukichaa/utaahira
3. Madikteta
 
Back
Top Bottom