mkataba ya kupangisha Fremu ya Duka

utemi

Senior Member
Mar 27, 2011
167
23
Tafadhali naomba kama kuna mtu anayeweza kunisaidia sample ya mkataba ya kupangisha fremu ya duka... naomba anisaidie. Asante!
 
SAMPLE NINAZO NYINGI SANA, LAKINI UTANIPA SHILINGI NGAPI? kama bure, huwezi pata toka kwa mtu yeyote yule...tafadhali acha ubahili, tafula lawyer umlipe kidogo, uingie mkataba mbele yake ili iwe rahisi yeye pia kuwa shahidi wako kukutetea matatizo yakikukuta mbeleni kutokana na kile unachoingia mkataba...ok?
 
Tafadhali naomba kama kuna mtu anayeweza kunisaidia sample ya mkataba ya kupangisha fremu ya duka... naomba anisaidie. Asante![/QU

Duh ni ngumu sana kuweza kupata online mtu akutumie mkataba wakati anajua hawezi kulipwa kutokana na kutayarisha mkataba husika
 
Back
Top Bottom