Kiongozi wa Mtaa kwa tiketi ya Chadema, Shinyanga ashikiliwa kwa ufujaji

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,573
31,887
KIONGOZI wa Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (chadema) Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara ( jina linahifadhiwa) anashikiliwa polisi akidaiwa kufuja Sh 600,000 fedha za mfuko wa Elimu wa wakazi wa Kazamoyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mfuko wa Elimu, Mtaa wa Kazamoto, mjini mdogo wa mererani, Sokoto Mbuya alisema kiongozi huyo alifuja fedha hizo akiwa mweka hazina wa kamati hiyo na alipewa Sh 1.045 milioni walizopata kutokana na michango ya wananchi wa mtaa huo ambao kila mkazi alichangia Sh 500.
Alisema walimpa fedha hizo awe nazo kutokana na nafasi yake ya mweka hazina wa mfuko huo na walitoa Sh 445.000 kwa ajili ya kununulia vifaa vya shule ya msingi Endiamtu na fedha zilizobaki akawa anawazungusha wajumbe kuzitoa. kamanda wa polisi wa mkoa wa manyara, Parmena Sumary, alidhibitisha kukamwatwa kwa katibu huyo wa Chadema.
SOURCE: MWANANCHI MEI 26, 2011
 
Watanzania hawa Chadema ndio wanataka tuwape nchi, kama Fedha kidogo tu za mfuko wa Elimu wanafanya ufisadi je wakikamata wizara itakuaje si ndio itakua shamba la bibi wanavuna tu
 
kiongozi wa chama cha demokrasi na maendeleo (chadema) wilaya ya simanjiro mkoani manyara ( jina linahifadhiwa) anashikiliwa polisi akidaiwa kufuja sh 600,000 fedha za mfuko wa elimu wa wakazi wa kazamoyo.
Mwenyekiti wa kamati ya mfuko wa elimu, mtaa wa kazamoto, mjini mdogo wa mererani, sokoto mbuya alisema kiongozi huyo alifuja fedha hizo akiwa mweka hazina wa kamati hiyo na alipewa sh 1.045 milioni walizopata kutokana na michango ya wananchi wa mtaa huo ambao kila mkazi alichangia sh 500.
Alisema walimpa fedha hizo awe nazo kutokana na nafasi yake ya mweka hazina wa mfuko huo na walitoa sh 445.000 kwa ajili ya kununulia vifaa vya shule ya msingi endiamtu na fedha zilizobaki akawa anawazungusha wajumbe kuzitoa. Kamanda wa polisi wa mkoa wa manyara, parmena sumary, alidhibitisha kukamwatwa kwa katibu huyo wa chadema.
Source: Mwananchi mei 26, 2011

crap!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Atauza dume moja la Ngombe na kuzirejesha. Mimi nilifikiri unazungumza tarakimu zile wakulima wasizoweza kuelewa labda utumie ujazo mabox
 
Maandamano ya kumng'oa Chatanda imewashinda....! Mkamgeukia James Millya, na wakuu wake (mapacha) watatu...! Then unakuja tena huku....! Utaweza?
 
kiongozi wa chama cha demokrasi na maendeleo (chadema) wilaya ya simanjiro mkoani manyara ( jina linahifadhiwa) anashikiliwa polisi akidaiwa kufuja sh 600,000 fedha za mfuko wa elimu wa wakazi wa kazamoyo.
Mwenyekiti wa kamati ya mfuko wa elimu, mtaa wa kazamoto, mjini mdogo wa mererani, sokoto mbuya alisema kiongozi huyo alifuja fedha hizo akiwa mweka hazina wa kamati hiyo na alipewa sh 1.045 milioni walizopata kutokana na michango ya wananchi wa mtaa huo ambao kila mkazi alichangia sh 500.
Alisema walimpa fedha hizo awe nazo kutokana na nafasi yake ya mweka hazina wa mfuko huo na walitoa sh 445.000 kwa ajili ya kununulia vifaa vya shule ya msingi endiamtu na fedha zilizobaki akawa anawazungusha wajumbe kuzitoa. Kamanda wa polisi wa mkoa wa manyara, parmena sumary, alidhibitisha kukamwatwa kwa katibu huyo wa chadema.
Source: Mwananchi mei 26, 2011

propaganda za magamba hizo!! Yaani hawa magamba wanaitafutia cdm sababu wanakosa maana hawana pakutokea this time!
 
:A S-cry::A S-cry::A S-cry:
ni pesa nyingi inapaswa awajibishwe, CDM mumuwajibishe huyo kiongozi mwenye tabia za kifisadi au ni jirani yetu kaja kutuchafua tena kwa hela ndogo, unajua jirani ana mipango mingi usimpimie
 
Sasa hapa unatueleza Utumbo gani wewe mtoto wa Msanii wa kucheza Kiduku! Kwanza tuambie ile kesi uliyodai utaifungua imeishia wapa wewe Fisadi mtoto! Sasa mtu akiiba si anapaswa kupelekwa mahakamani na si kutulete thread ya Uozo hapa? Mwizi anaweza kuwa na Itikadi yoyote tu ya kisiasa, hapa tunachopinga ni Mwizi kulindwa kama wanavyofanya CCM kuwalinda wezi ndio maana tunakilaumu CCM.

Siku nyingine usilete thread za Kise.....e kama unatoka kuharisha mbegu ulizotumbukizwa usiku
 
Watanzania hawa Chadema ndio wanataka tuwape nchi, kama Fedha kidogo tu za mfuko wa Elimu wanafanya ufisadi je wakikamata wizara itakuaje si ndio itakua shamba la bibi wanavuna tu

Niambie nchi gani au chama gani duniani kisicho na wezi? Tofauti ni jinsi gani tunawashughulikia, je tunawapeleka mahakamani au tunawaomba warudishe?
 
Watanzania hawa Chadema ndio wanataka tuwape nchi, kama Fedha kidogo tu za mfuko wa Elimu wanafanya ufisadi je wakikamata wizara itakuaje si ndio itakua shamba la bibi wanavuna tu
Mawazo yako mafupi sana! Fara wewe¡¡¡¡¡¡¡ Ndama moja tu inatosha.
 
Watanzania hawa Chadema ndio wanataka tuwape nchi, kama Fedha kidogo tu za mfuko wa Elimu wanafanya ufisadi je wakikamata wizara itakuaje si ndio itakua shamba la bibi wanavuna tu

kikitokea cdm unaona kama ni kubwa sana eh? Tuthibitishie kuwa hao wa kwako ni wasafi.
 
Nyumba bora inaanza na msingi imara kama mnaaza kutafuna michango ya wananchi saizi je mkichukuwa nchi itakuaje????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom