Nini maana ya utetezi kisheria .

KALENDA

Member
Jan 21, 2011
72
28
Habari zenu wana JF.
Rafiki yangu anatuhumiwa katika kesi, jana baada ya kufika mahakamani na kusikilizwa kesi yake
kwa mlalamikaji kuleta shahidi Hakimu wakati anaahirisha kesi alimwambia mtuhumiwa siku
inayofuata atakapokwenda awakilishe UTETEZI WAKE, je ina maana gan ?.
 
hapo huyo rafiki yako anatakiwa aende na ushaidi wa kuonesha kuwa hakutenda kosa wanalomshtaki.
 
Back
Top Bottom