Do kweli ukishangaa ya Musa utaona ya firauni Mtoto wa miaka 14 afungwa maisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Do kweli ukishangaa ya Musa utaona ya firauni Mtoto wa miaka 14 afungwa maisha

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Radi, May 25, 2011.

 1. R

  Radi Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  25th May 2011

  Mvulana mwenye umri wa miaka 14, mkazi wa kijiji cha Senani kata ya Ipililo wilaya Maswa mkoani Shinyanga, amehukumiwa kifungo cha maisha jela na kuchapwa viboko sita akiwa gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kubaka na kulawiti mtoto mwenye umri wa miaka mitano.
  Akitoa hukumu hiyo, Hakimu Mfawidhi wa Wilaya ya Maswa, Tamphon Mtani, alisema mshtakiwa huyo alikutwa na kosa la kumbaka mtoto huyo baada ya yeye kukiri kufanya na kutenda kosa hilo mbele ya mahakama hiyo.
  Kabla ya hukumu hiyo kutolewa Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Kidwadi Kalinga, aliiambia mahakama kuwa Mei 15, mwaka huu, saa 10:00 jioni, akiwa ndani ya nyumba anamoishi (ghetto) kijijini hapo, mtuhumiwa huyo alimwita mtoto huyo (jina limehifadhiwa) alipokuwa akicheza na wenzake jirani na nyumba hiyo.
  Mwendesha mashtaka alidai kuwa James alimwomba mtoto huyo aingie ndani ili ampatie pipi na ndipo mtoto huyo alipoingia hadi ndani ya chumba cha kijana huyo. Kwa mujibu wa Mwendasha Mashtaka, baada ya mtoto huyo kuingia chumbani, James kwa kudhamiria alimwingilia sehemu zake za siri mbele na nyuma na ndipo mtoto alipoanza kupiga kelele na majirani kusikia.
  Alidai kuwa baada ya majirani kusikia na James kupata hofu, aliamua kukimbia kwa kutumia baiskeli, lakini wananchi walimhoji na kumuuliza kulikoni na walipoingia ndani ya chumba chake walimkuta mtoto huyo akitokwa damu sehemu zake siri na haja kubwa.
  Wananchi hao walikwenda moja kwa moja polisi na ndipo mtuhumiwa alipokamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kubaka na mbele ya hakimu huyo alipohojiwa alikiri kufanya kosa hilo. Hata hivyo, kijana huyo alipopewa nafasi ya kujitetea apunguziwe adhabu, hakufanya hivyo badala yake alibaki kimya.  CHANZO: NIPASHE


  My take; Hivi hawa mahakimu wanajua sheria kweli au ni ubabaishaji jamani.
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  131. Punishment for rape Act No. 4 of 1998 s. 6
  (1) Any person who commits rape is, except in the cases provided for in the renumbered subsection (2), liable to be punished with imprisonment for life, and in any case for imprisonment of not less than thirty years with corporal punishment, and with a fine, and shall in addition be ordered to pay compensation of an amount determined by the court, to the person in respect of whom the offence was committed for the injuries caused to such person.
  (2) Notwithstanding the provisions of any law, where the offence is committed by a boy who is of the age of eighteen years or less, he shall–
  (a) if a first offender, be sentenced to corporal punishment only;
  (b) if a second time offender, be sentence to imprisonment for a term of twelve months with corporal punishment;
  (c) if a third time and recidivist offender, he shall be sentenced to life imprisonment pursuant to subsection (1).
  (3) Notwithstanding the preceding provisions of this section whoever commits an offence of rape to a girl under the age of ten years shall on conviction be sentenced to life imprisonment.
   
 3. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
   
 5. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Asante kwa kifungu...Umetusaidia wengi kwenye hilo
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  karibu Mkuu hope tutaendelea kuhabarishana
   
 7. K

  Kahinda JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 849
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Je Bongo kuna jela za watoto (Juvenile).
   
 8. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Zipo nyingi tu!!ingine iko pale dakawa kubwa tu na wanasoa kabisa masomo ya shule msingi labda na sasa sekondari itakuwepo
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  May 29, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Lakini maisha kwa kubaka? Hmmm something ain't right somewhere.
   
 10. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wangekachinja kabisa hako kasaitwani!!!
   
 11. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,477
  Likes Received: 1,441
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli hii hukumu hakimu hakustahili kuitoa, ni sawa mshtakiwa alikiri lakini angeangalia umri pia
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  15. Immature age Act No. 4 of 1998 s. 4
  (1) A person under the age of ten years is not criminally responsible for any act or omission.
  (2) A person under the age of twelve years is not criminally responsible for an act or omission, unless it is proved that at the time of doing the act or making the omission he had capacity to know that he ought not to do the act or make the omission.
  (3) A male person under the age of twelve years is presumed to be incapable of having sexual intercourse.

  Mkuu age yake hapo inamuweka pabaya maana ameshapitiliza umri wa kisheria ambao wanasema hawezi kufanya sex wa miaka kumi na mbili
   
 13. EvJ

  EvJ JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  unasemaje?hk ndugu maneno haya yanatoka mdomon mwako kwel?hauna huruma kabsa?pata pcha kama mwanao au ndugu yako wa karbu,inaelekea na wewe ndio walewale.
   
 14. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #14
  May 30, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  well done hakimu!..
   
 15. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Vipi kama aliebakwa angekuwa mwanao?
   
 16. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Acheni kuzingua mtoto wa miaka 14 ana uwezo gani wa kufikiri? nyie nyie ndo mnakata viuno uchi watoto wenu wao wanasomba bila kuchagua afu mnakuja kuwalaumu. tatizo ni mfumo mnao wajengea wototo wenu.
   
Loading...