Naomba msaada : Nakala ya sheria za mikataba tanzania.

baina

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
219
59
Wa tz wenzangu naomba mwenye kuweza kuwa au kupata sheria za mikataba kwa tanzania animwagie copy hapa ninashida nayo sana. Ndugu nisaidie kwani muda si mrefu haki yangu nitanyanganywa. Nataka niichimbe na kuielewa vizuri. Shukrani mbeleeeeeeeeeeeeeee.
 
Mikataba ipi umanaanisha hapa
 
Tembelea website ya bunge sheria zote zinapatikana hata hiyo Law of Contract Act. CAP.345
 
just nenda google na andika 'the law of contract of tanzania' utaipata yote na kuisoma upendavyo
 
Back
Top Bottom