Naomba Msaada: Vitabu vilivyopigwa marufuku Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Msaada: Vitabu vilivyopigwa marufuku Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mtoboasiri, May 19, 2011.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Bandugu,

  Ninakaribia kurudi nyumbani, ila nina vitabu ninavyovitumia binafsi kwa malengo ya elimu. Nakumbuka kusikia kuna vitabu vilishawahi kupigwa marufuku Tanzania (najua vingine kwa uhakika k.m. Satanic Verses, Unfit for Human Consumption, n.k).

  Ni kosa kisheria kuwa nacho - hata kama sikusudii kuuza, kuazimisha au kumuonyesha mwingine?
   
 2. x

  xman Senior Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ebu mzee be more specific kama sijakuelewa vile
   
 3. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Dispatch your consignment with UPS, FedEx, DHL, TNT lakini usiwape EMS (wanafungua mizigo ya wateja hawa).
   
 4. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Nina vitabu, lakini nimeambiwa kati ya hivyo vitabu nilivyo navyo vilishapigwa marufuku Tanzania. Nitakuwa na hatia nikija navyo? Ni nakala moja moja tu na ni kwa matumizi yangu binafsi.
   
Loading...