Wabunge wetu wataka BANGI iruhusiwe kuuzwa kukuza uchumi

Billionea

Member
Apr 6, 2011
44
5
THE Parliamentary Justice and Constitutional Affairs Committee has recommended legalisation of cultivation of a narcotic plant, known as bhang, to boost incomes.

The committee made the suggestion in Dar es Salaam on Wednesday when it met with the Anti-Narcotic Drugs Commission to discuss challenges facing the institution in combating use and trading in illicit drugs.

"There is need to legalise growing of bhang to enable people generate more income. Instead of uprooting the plants and burning them, people should be allowed to plant it as a source of income," suggested Temeke MP Abbas Mtevu (CCM).

Mbulu MP, Mr Mustafa Akunay (Chadema) said the government should issue permits to farmers to enable them grow the plants and export it to countries where such business is legal.

However, the Commissioner of the Drug Control Commission, Mr Christopher Shekiondo, told the committee members that the use and trading in narcotic drugs was illegal throughout the world.

Mr Shekiondo said at least 370-kg of heroine and 120-kg of cocaine worth 12bn/- was smuggled into the country during the first three months of this year.
 
Wazo la kulima bangi ni zuri sana hasa ikipandwa katika bustani za Bunge pale Dodoma.
Na nina uhakika pale TMK-kwa wanaume,(Temeke -jimbo la Ndg Mtemvu), wazo hili litachangamkiwa sana.:pound:
 
Nakumbuka miaka ya nyuma kule kwetu (sio tarime!) watu walikuwa wanalima kwa ajili ya kupata mbegu zake....mbegu za bangi zilitumiwa kupikia chakula kama zinavyotumika karanga, alizeti na mazo mengine ya mafuta. Baada ya mavuno ya mbegu, majani yalikuwa hayana kazi...yanaachwa shambani yaoze au yanachomwa moto.
 
THE Parliamentary Justice and Constitutional Affairs Committee has recommended legalisation of cultivation of a narcotic plant, known as bhang, to boost incomes.
The committee made the suggestion in Dar es Salaam on Wednesday when it met with the Anti-Narcotic Drugs Commission to discuss challenges facing the institution in combating use and trading in illicit drugs.
"There is need to legalise growing of bhang to enable people generate more income. Instead of uprooting the plants and burning them, people should be allowed to plant it as a source of income," suggested Temeke MP Abbas Mtevu (CCM).
Mbulu MP, Mr Mustafa Akunay (Chadema) said the government should issue permits to farmers to enable them grow the plants and export it to countries where such business is legal.
However, the Commissioner of the Drug Control Commission, Mr Christopher Shekiondo, told the committee members that the use and trading in narcotic drugs was illegal throughout the world.
Mr Shekiondo said at least 370-kg of heroine and 120-kg of cocaine worth 12bn/- was smuggled into the country during the first three months of this year.

Kama hawa ndio wabunge tulionao, basi kazi ipo.Swala sasa ni pesa tu,afya za watu kando.Ama kweli unabii umetimia,"Siku za mwisho watu watapenda fedha kuliko kumpenda Mungu."
 
Bangi imehalalishwa katika nchi kadhaa na nyingine zimetenga maeneo ya kuuza na kutumia bhangi. Colombia imeruhusiwa kabisa, vuta mahali popote. hivyo tukilima bangi itapata pa kupeleka na kwa wale wanaotumia hapa nchini watambuliwe kisheria.
 
wazo la kulima bangi ni zuri sana hasa ikipandwa katika bustani za bunge pale dodoma.
Na nina uhakika pale tmk-kwa wanaume,(temeke -jimbo la ndg mtemvu), wazo hili litachangamkiwa sana.:pound:

gwakisa ha ha ha ha haa ha ahahaha ikipandwa bungeni bi.kiroboto (makinda ya ndege) atawehuka zaidi ya hapa na uzee unamnyemelea
 
Suala La Ganja kuhalalishwa mh! Lina Ugumu kidogo. ila kwa mimi kitu ambacho ningeomba kihalalishwe na biashara yake iwe halali ni Mirungi (gomba). Biashara ya mirungi ni kubwa na inalipa sana na ni wazi jinsi Kenya wanavyopata hela nyingi za kigeni kwa kupeleka mirungi UK. Halafu kuhalilisha mirungi itaongeza pato la serikali kwa sababu kwanza tuko ktk shirikisho la East Africa ambao wenzetu Kenya na Uganda mirungi ni halali, kuhalalisha mirungi pia tutapunguza upenyo wa polisi kujinifuaisha na hii biashara ktk mikoa ya mipakani ka Arusha, Kilimanjaro, Mara, Mwanza na Tanga polisi wamekuwa wakijinifaisha kwa kupata pesa nyingi ka rushwa toka kwa walaji na wafanyabiashara wa mirungi. Tena isitoshe Tanzania mirungi ya asili na mizuri aina ya rungu inapatikana pande za upare, lushoto na monduli na nzuri kuliko ya kenya ambayo inapandwa kwa kutumia mbolea na kutumia madawa mengi, kwa hiyo tukiruhusu tuna uwezo wa kuteka soko la dunia na kwa njia hii pia tutawasidia wakulima wa hizo sehemu kwa kiasi kikubwa.
nafkiri hata category ya mirungi as drugs haiko pamoja na Bangi so kuliko kuanza kufikiria kuhalalisha bangi tungeanza kwanza na mirungi

Pukudu @Ilkiding'a, Arusha
 
Nakumbuka miaka ya nyuma kule kwetu (sio tarime!) watu walikuwa wanalima kwa ajili ya kupata mbegu zake....mbegu za bangi zilitumiwa kupikia chakula kama zinavyotumika karanga, alizeti na mazo mengine ya mafuta. Baada ya mavuno ya mbegu, majani yalikuwa hayana kazi...yanaachwa shambani yaoze au yanachomwa moto.

Wakati wa kuyachoma moto lazima upige pafu kadhaa
 
hawa wabunge wetu nao watakuwa wanavuta lazima,haiwezekani kuruhusu kitu chenye madhara kwa binadamu kilimwe then wakauziwe binadamu wengine nchi zisizojulikana. ni sawa na ilimwe sumu sehemu nyingine then ije iuzwe tz.
 
ya nafikiri ingepandwa bungeni kwanza na kila nje ya nyumba ya mbunge halafu watatupa majibu kwamba ikiuzwa nje haina madhara.hivi nchi ya ahadi i kama Tanzania ina shida kiasi gani kufikia kuuza bhangi?heeee ukistajabu ya Musa hiyo Colombia iliyohalalisha unajua ni ya ngapi kwa uhalifu duniani?mabo ya msingi tusiyachukulie legelege
 
Viwanda vingi vinatumia Bangi kama dawa,ni vizuri wananchi wangeruhusiwa kulima mbona tumbaku inalimwa
 
Hao ndo wale wa kuwaza uchumi tu bila madhara, wako tayari kuua mtu kisa pesa, kweli hamnazo.
 
MP's ur not serious, Tanzania has a lot of un taped source of income so i wonder mps to propose to legalise narcotic. Does it mean they dont see how our young brother and sister are losing control because of these drugs. Be serious please
 
Back
Top Bottom