Usajili wa makampuni ya kigeni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usajili wa makampuni ya kigeni.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by zebeya, May 30, 2011.

 1. z

  zebeya Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kufuatia kuibuka kwa kampuni feki za nje hapa tanzania na kuisababishia serikali hasara kubwa.je, kwa taratibu za usajili wake chini ya sheria ya Makampuni ya 2002 yaani (THE COMPANIES ACT, 2002) zinakidhi katika kusajili makampuni ambayo hayana ofisi au kusjiliwa yanakotoka.? Wewe una maoni gani.
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Tatizo lipo kwa serikali yetu,katika zile Idara zinazotakiwa kusimamia hilo,kila ubalozi wa nchi yeyote kuna business attachee,ambaye kazi yake ni kuratibu na kutoa majibu kwa niaba ya serikali yake juu ya mambo yote yanayousiana na biashara ikiwemo kuthibitisha kimaandishi ualali wa makampuni ya nchi yake,Hivyo basi iwapo unataka huakika let say wa kampuni ya kimarekani,ukienda pale ubalozini kwao business attachee wao atakupa all info for free,pia Business attachee wa Tanzania kwenye balozi yetu popote pale duniani anaweza na sheria inamruhusu kufanya upembuzi yakinifu wa kampuni yeyote katika ile nchi aliyopo So Brela au mwanasheria mkuu wa serikali ni jukumu lao ktk hilo..Mfano Brela wao wanataka uwe na document (copy za usajiri toka nje inapotoka hiyo kampuni kama kigezo cha kufungua tawi apa Tz,but uwakiki wa ualali wa hizo document ndio sio makini) Wakati nchi nyingi zinataka certfied document toka mamlaka usika,Mfano ili South african Company kujisajiri apa ilitakiwa Brela idai certified copy toka DTI (Department of Trade and Industry -Brela ya Sauz) za kampuni tena watumiane kwa posta (registered mail) idara husika So sisi Tumejaa usanii tu na sio makini kaitka kulitumikia taifa la Danganyika
   
Loading...