Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wako please!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Nyalotsi, Dec 8, 2011.

 1. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,763
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kuna mtu anataka kuongeza jina ambalo halipo kwenye vyeti vyake vya shule. Hii anataka kuifanya kwenye ajira baada ya kugundua kuna mtu wako idara moja na majina yao ni yale yale.Ana birth certificate aliyoichukua kama miaka kumi iliyopita.inawezekana? Afate hatua zipi?
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,767
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Aende kwa lawyer,atapata msaada wa kuongeza jina kisheria.inaruhusiwa akuna pingamizi
   
Loading...