Afungwa miaka 400 jela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afungwa miaka 400 jela

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Bajabiri, Dec 18, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mahakama wilayani Sumbawanga imemtia hatiani bwana Cosmas Mafuru kwa kosa la kuanzisha Chuo fake,bwana Mafuru mwenye umri wa miaka 50,alituhumiwa kwa kosa la kujiita Mkurugenzi wa Chuo Cha Uandish wa Habari cha Dar es Salaam City College tawi la sumbawanga,ambapo Cosmas alikua akigawa vyeti fake.pia alikua akikusanya pesa,mahakama ilipomkuta na hatia ilimhukumu miaka 490 jela
  sosi:HABARI LEO LA 18.12.2011
   
 2. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wamemuonea kabisaaa.je walioifikisha nchi hapa ilipo kwa kuifisad je?Wanakula raha kama kawaida..,
   
 3. libent

  libent JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  si bora waseme wamemfunga maisha mtu ana miaka 50 halafu anafungwa miaka 490 sheria za kibongo bwana au kafungwa miaka 4.90. Nashut down fasta
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nilipoisoma hii hbr nikajiulza je wanaofoj vyet vya elim na kujiita Madokta wa PhD?
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahahahahah,hakimu ametimiza wajibu
   
 6. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Sasa Ndio napata picha Duniani hakuna usawa kabisa ni bora yeye na elimu katoa but kuna mafisadi wanatufukc na wanadunda hakumu aliyemukumu ni mamae zake na ukoo wake wote.
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  yeah ila cosmas amepatwa na Hatia
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Amekutwa na makosa 70
   
 9. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Huyo hakimu nae atakuwa anataka sifa tu miaka 490?yaani imepitiliza mpaka umri wa uhai wake du hii ni kali.
   
 10. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  duh!ya mungu mengi,anaweza akamuweka hai kwa miaka yote hiyo
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kila kosa amefungwa miaka 7
  so x makosa 70!
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Anataka awe JaJi!
   
 13. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Vevy good!. Hii ni dawa kwa wahujumu wote wa Elimu.
   
 14. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  tumeshauzwa kwa wazungu na mafisadi.yenyewe hata yakifoji vyet ni halali.asilimia kubwa ya viongoz wetu elimu zao ni utata mtupu.
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  @tizo
  labda hawana ushahidi
   
Loading...