Pata darasa bila malipo hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata darasa bila malipo hapa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Wa kusoma, Dec 13, 2011.

 1. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Naanza kujitolea kutoa elimu bure humu JF kwa kipidi chote nitakachokuwa likizo. Leo naanza na hili.

  [h=2]Jua haki yako unapokamatwa na polisi [/h]
  • [FONT=&quot]Raia ana haki ya kumwomba askari ajitambulishe kwako.[/FONT]
   • [FONT=&quot]Mwulize jina lake[/FONT]
   • [FONT=&quot]Mwulize namba yake ya uaskari[/FONT]
  • [FONT=&quot]Raia ana haki ya kujulishwa kwanini anatiliwa mashaka ama kukamatwa.[/FONT]
  • [FONT=&quot]Raia ana haki ya kuwajulisha ndugu, jamaa ama sehemu anakofanyia kazi kwamba ama amekamatwa na polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa.[/FONT]
  • [FONT=&quot]Raia ana haki ya kuomba na kupewa dhamana wakati akiwa kituo cha polisi ama Taasisi ya kuzuia rushwa.[/FONT]
   • [FONT=&quot]Hutakiwi kutoa fedha kama dhamana uwapo kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa, isipokuwa maelezo utakayoandika.[/FONT]
  • [FONT=&quot]Raia ana haki ya kuwaeleza polisi ama Maafisa wa Kuzuia Rushwa kwamba lolote atakalosema linaweza kutumiwa kama ushahidi mahakamani, na asiburuzwe kuandika tu.[/FONT]
  • [FONT=&quot]Raia ana haki ya kuomba Wakili wake awepo kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa wakati anatoa maelezo yake.[/FONT]
  • [FONT=&quot]Raia ana haki ya kuyasoma kabla ya kutia sahihi yake.[/FONT]
  • [FONT=&quot]Raia ana haki ya kudai risiti ya orodha ya vitu vyake/fedha zake alizozitoa ama kukabidhi kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa.[/FONT]
  • [FONT=&quot]Raia kama ni mwanamke ana haki ya kupekuliwa na polisi wa kike, na iwapo hakuna polisi mwanamke, basi mwanamke yeyote na vile vile kwa mwanamume.[/FONT]
  • [FONT=&quot]Raia ana haki ya kufikishwa mahakamani katika muda usiozidi saa 24 tangu alipokamatwa na kufikishwa kituo cha polisi.[/FONT]
   
 2. m

  mr analysis Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  asante mkuu endelea kutoa darasa
   
 3. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Bora yako ww umenitambua kuna wengine hawanikubaru humu JF. Elimu kitu mhimu bana.
   
 4. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  hii topic au unaita darasa ilishawahi kutolewa na kurudiwa na kurudiwa sana humu ndani katika jukwaa la sheria. jamani eleweni hili ni Jukwaa la Utani so ulichokiweka hakiendani na jukwaa hili, na pia ni marudio.

  chau chau
   
 5. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Utakuwa umetokea polisi mkuu. Hii ipo vituo vyote vya polisi.
   
Loading...