Msaada Ugomvi kuhusu kununua ardhi second hand | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Ugomvi kuhusu kununua ardhi second hand

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Igwachnya, Dec 14, 2011.

 1. I

  Igwachnya Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Habari wana jamvi? Naombeni ushauri wenu kuhusu hii kesi yangu...
  February mwaka huu nilinunua ardhi kwa mtu mitaa ya Goba. Yule alienuzia kwa sasa yupo Arusha. Tatizo ni kuwa yule mzee alieuza eneo lile kwa mara ya kwanza anamsumbua kila mtu anetumwa kufanya kazi eneo lile hata kama kusembua au kupeleka tofauli... nikimtafuta na kuonana nae hana lolote analoniambia zaidi ya kusema nitafute muda tuongee.... nikitafuta huo muda bado hasemi kitu cha maana na inaonekana kama anamkana hata mtu aliyekuwa amemuuzia mara ya kwanza...

  Kwa sababu mimi nashindwa kuendelea na kibanda changu kwa fujo zake ndo maana naomba ushauri wa kisheria, KATIKA MAZINGIRA KAMA HAYA NAPASWA KUCHUKUA HATUA GANI?
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,278
  Trophy Points: 280
  Uza na wewe ukaangalie ustaarabu mwengine kwengine!!
   
 3. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  Ukimshitaki na hivi ni kama umeudiwa mbuzi kwenye kiroba.Kiwanja kimepimwa?hati zipo?if not pole sana
   
Loading...