Ppf/nssf claims | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ppf/nssf claims

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MASIKITIKO, Dec 17, 2011.

 1. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 842
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Wadau naomba kuuliza,Unapokuwa umeacha au kuachishwa kazi na Muajiri na ulikuwa unakatwa makato hayo kama kawaida wakati wa ajira yako,baada ya kuachishwa ukaanza kujaza fomu za madai lakini Mwajiri akawa anakuzungusha kwenye kukupa hizo fomu za madai ulizojaza na kumuachia yeye ili akamilishe kuzijaza,JE Mwajiri akishindwa kukupatia hizo fomu ni hatua gani za kisheria unatakiwa kuzifuata?
   
Loading...