African Barrick mnafanyaje hivi?

Wababa

Senior Member
Jul 21, 2011
158
14
Hellow to all great thinkers...!

Wandugu embu nisaidieni mawazo yenu hapo cause nahisi kuwa mwehu hapa....!

Mimi nilikuwa ni muajiriwa wa kampuni moja ya uchimbaji wa madini hapa Tz, nikawa nimebahatika kuitwa katika interview kwenye kampuni nyingne ya uchimbaji pia, nilifanikiwa kufanya usahili wangu vizuri na baada ya cku tatu walinipigia simu kwaajili ya kwenda kusain contract nilifika sehemu husika nikasaini mkataba na wakanipa na barua yangu ya offer as heavy duty mechanic nikamalizana nao vizuri, walichoniambia watanihitaji baada ya mwezi mmoja, nilichofanya mimi nikarudi nikawapa notice ya mwezi mmoja (resgnation) kampuni yangu ya zamani, tukaahidiana na hawa jamaa zangu wapya ambao ni AFRICAN BARRICK kuwa nitakapomalizana na kampuni yangu ya zamani niwajulishe ili niende nikaanze nao.

Till this time nishamalizana na kampuni ya zamani toka trh 25 Sept, nimekuqa nampigia cm HR yani (afisa muajiri) kila siku ananiambia kesho kesho mpaka sasa mimi kazi sina, nimebaki kuuangalia mkataba wangu na barua yangu ya offer, familia inanilaumu eti nimeacha kazi kwa kukurupuka, nisaidien nifanye nini?
 
Sep 29, 2011
92
18
ABG- ni moja ya kampuni ambayo haina proffessional na ethical HR personnel, Ndio maana Barrick wanaajiri kila siku kwani wanatabia hata ya kuchange mikataba at late stage, ni wazushi sana lakini unaweza wasiliana na CMA au mwanasheria akusaidie kwani huo ni usumbufu na carrier damaging. Wafanyakazi huwa wanaajiriwa dsm wakifika mgodini wengine wanageuza kurudi dsm baada ya wiki tuu. Hii kampuni inahitaji kubadilika. haswa waswahili huwa hawathaminiwi kabisa unazani angekuwa Kaburu au mfilipino wangemfanyia hivyo?
 
MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
644
1,130
Ndugu yangu huyo afisa mwajili wa Barrick inasemekana by professional ni fundi nguo kutoka South Afrika ila kwa kuwa ni mzungu wamemwajili kama HR ila kwa bahati mbaya naye tayari wameisha mfukuza kwa kukosa sifa za HR ,, POLE SANA ndugu yangu kwa kukosa pote maana hukujua ufanyacho ,,
ILA NAOMBA NIKUULIZE SWALI MOJA KUWA AILOPOKUWA ANAKUFANYIA INTERVIEW MASWALI ALIYOKUWA ANKUULIZA YALIKUWA YANAENDANA NA SIFA ZA KUWA HR???????
 
Wababa

Senior Member
Jul 21, 2011
158
14
Kwa kweli inavyoelekea jamaa alikua competent, ila cjui kinachoendelea till thz time ni nini!
 
King’asti

Platinum Member
Nov 26, 2009
27,801
24,544
pole ndugu. ww nenda ukaripoti kwenye ofisi uliyofanyia interview. watakachokuambia pitiliza ofisi ya kazi (labour). kutana na cma, huhitaji mwanasheria katika level hii unless hukumu inatolewa halafu wanaenda kupinga mahakamani.
 
shalis

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
270
64
Ndugu yangu huyo afisa mwajili wa Barrick inasemekana by professional ni fundi nguo kutoka South Afrika ila kwa kuwa ni mzungu wamemwajili kama HR ila kwa bahati mbaya naye tayari wameisha mfukuza kwa kukosa sifa za HR ,, POLE SANA ndugu yangu kwa kukosa pote maana hukujua ufanyacho ,,
ILA NAOMBA NIKUULIZE SWALI MOJA KUWA AILOPOKUWA ANAKUFANYIA INTERVIEW MASWALI ALIYOKUWA ANKUULIZA YALIKUWA YANAENDANA NA SIFA ZA KUWA HR???????

Natilia shaka na mawazo yako,
do you rela know The african barrick ??? au kwa sababu u have access in JF bas unaandika tu chochote ..pole sana
 
shalis

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
270
64
By the way muhusika be specific The african barrick ni kubwa je ni site,
umefanya uchunguzi wowote kwanini umecheleweshwa?
au ndo mekuja kureport huku jF ??kama ni northmara kuna problem na HR karibia wote hawafanyi kazi
 
ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,785
6,616
Ukome na kuiba madini ya watanzania. Ninyi mlioko mgodini ni wezi na siku zenu zinahesabika. Unawasaidia wageni kutorosha mali?

Unajidhalilisha jinsi ulivyo mtanzania maslahi binafsi, hufiki mbali. Afrika kusini enzi za kudai uhuru, watu kama wewe walichomwa moto kwa kuwa wasaliti. Shame on you
 
shalis

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
270
64
compitent ktk kupora madini ya watanzania? Mwizi tu huyu, na akome kabisa

Nadhani elimu zaidi inahitajika kwako ,
by the way kama kwelii una hasira kuwa na hasira na viongozi wa serikali yako na si kwa wawekezaji na vibarua wake
pole sana ila no wy unless nchi iuziwe kagama labda mambo yatakwenda
 
kohen

Member
Apr 18, 2011
27
11
wababa hebu jaribu kuwa muwazi hiyo ajira ulitakiwa mgodi gani kwa sababu nijuavyo mimi hawa jamaa wana migodi mitano hapa :- bulyanhulu , tulawaka , north mara(nyamongo) , buzwagi(mwime) , na kabanga nickel .

sasa wewe uliitwa wapi ?
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
27,455
23,236
Ukome na kuiba madini ya watanzania. Ninyi mlioko mgodini ni wezi na siku zenu zinahesabika. Unawasaidia wageni kutorosha mali?

Unajidhalilisha jinsi ulivyo mtanzania maslahi binafsi, hufiki mbali. Afrika kusini enzi za kudai uhuru, watu kama wewe walichomwa moto kwa kuwa wasaliti. Shame on you

Sasa hilo ndo suluhisho...??? Hivi kati ya huyu na Mkapa aliyesema watanzania tuna wivu wa kike kwa wawekezaji ni nani anatakiwa afanyiwe hicho ulichoandika hapo juu..?? Kwenye maelezo yake sijaona mahala panamwonyesha yeye kuwa ana maslahi binafsi..

Nionacho ni kuwa una kitu rohoni lakini umekosa sehemu sahihi ya kukitoa.
 
harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,889
1,344
Nimeomba kazi nimepewa kazi sioni kazi kufanya kazi sasa kama wewe unaona kazi kufanya kazi acha kazi uone kazi.
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
27,455
23,236
Nadhani elimu zaidi inahitajika kwako ,
by the way kama kwelii una hasira kuwa na hasira na viongozi wa serikali yako na si kwa wawekezaji na vibarua wake
pole sana ila no wy unless nchi iuziwe kagama labda mambo yatakwenda
Mkuu..Huyo hata elimu haitamfaa............ NI WA KUMWACHA TUUU.............
 
Sep 29, 2011
92
18
By the way muhusika be specific The african barrick ni kubwa je ni site,
umefanya uchunguzi wowote kwanini umecheleweshwa?
au ndo mekuja kureport huku jF ??kama ni northmara kuna problem na HR karibia wote hawafanyi kazi
Kuna maswahibu gani huko Nyamongo kwani nasikia ni majungu ya makaburu.
 
Felixonfellix

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
1,672
180
Sidhani kama huu ni ushauri ufaao

Ukome na kuiba madini ya watanzania. Ninyi mlioko mgodini ni wezi na siku zenu zinahesabika. Unawasaidia wageni kutorosha mali?

Unajidhalilisha jinsi ulivyo mtanzania maslahi binafsi, hufiki mbali. Afrika kusini enzi za kudai uhuru, watu kama wewe walichomwa moto kwa kuwa wasaliti. Shame on you
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,518
6,101
washenzi sana hawa...kuna hr manager pale buzwagi mkaburu hajui lolote na meneja mahusiano ya jamii anajiita dr richard ni washenzi sijapata kuona...kwao sijui ni wafagizi basi wakija hapa wanajidai wajuaji kweli...nenda cma utashinda na hakuna kesi wamewahi kushinda cma hawa abg
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,850
8,678
pole ndugu. ww nenda ukaripoti kwenye ofisi uliyofanyia interview. watakachokuambia pitiliza ofisi ya kazi (labour). kutana na cma, huhitaji mwanasheria katika level hii unless hukumu inatolewa halafu wanaenda kupinga mahakamani.

corruption mama!!!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom