Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Naomba maoni yenu wadau. Hivi ni sawa kusema mhitimu wa sheria hapaswi kuajiliwa mpaka aende law school? Mimi binafsi si muumini wa hii kitu na sioni sababu za msingi kuthamimisha Llb ya miaka 3au...
Jana nilikuwa naangalia TV katika kubadilisha Badilisha station nikajikuta Mliman Tv. walikuwa na kipindi maalum kwa ajili ya David Mwangosi kwenye safari yake ya maisha. Wakawa wana wahoji...
Jamaa ameshinda kesi dhidi ya pingamizi la kutofunga ndoa liliowekwa na mwanamke mmoja anayedai kuwa ana ndoa na PM huyo wa Zimbabwe.
Habari zinadai kuwa anatarajia kufunga ndoa na mwanamke...
Salaa, wanajukwaa.
Naamini mko makini.
Mwaka jana (2011) lilipita panga lisilo na haki pale TASAF, madereva karibu wote walivunjiwa mikataba yao kwa sababu ya kuuzwa magari chakavu.
Waliahidiwa...
Mbaya wa Mwangosi avuliwa uaskari
ASKARI polisi aliyefyatu bomu lililomlipua na kumuua kinyama mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, David Mwangosi (40), amefikishwa...
wakuu JF,
Kufuatana na taarifa zilizoko bungeni kuwa Mbarouk S Mbarouk hana sifa za ujaji, nimeonelea ni muda muafaka kwa kamanda Lema kumwekea kipingamizi kwenye shauri lake la rufaa mjini...
Wakuu, ninahitaji kuipata ili niisome kwa ukamilifu sheria ya uraia ya mwaka 1961 ya 'Tanganyika'. Tafadhali mwenye msaada wa kuipata sheria hiyo anisaidie. Nashukuru sana.
Sasa hivi ni wazi kwamba police wa Tanzania hawaombi tena rushwa bali wanawanyang'anya raia kila sent walio nao. Kuna police traffic wa Mbeya mjini wakiongozwa na mwenye jina la Siza huchukua gari...
Wakuu, kiwavi hiki cha utawala mbaya na rushwa katika Jeshi hili kitaisha lini?
Mfano, hawa traffic wa barabara ya kwenda Njiro, Arusha, wanasimama katikati kabisa ya bara bara, kila gari lazima...
Hakika sasa inazidi kuwa wazi kuwa polisi wa Tanzania wanatia aibu.
Aibu iliyofichuliwa na gazeti la Nipashe leo, utagundua kuwa kumbe tatizo ni kubwa zaidi. Hawaishii tu kuvuruga mikutano ya...
Wakuu Salaam,
Jana usiku niliangalia kipindi cha Star TV ambapo mmoja wa waganga wa kienyeji alikuwa ananadi dawa zake pamoja na huduma nyingine anazozitoa. Kwa ujumla ni kama vile jamii yetu...
Baadhi ya wateja na mawakala wa ushuru na forodha ktk bandari ya dar wanaandamana muda huu wakishinikiza kuonana na Mwakyembe. Hii ni baada ya utaratibu mpya alotangaza waziri wa jinsi ya kulipia...
hivi gazeti likifungwa,mfano Mwanahalisi, na website yao pia hairuhusiwi kufanya kazi?........anayefahamu sheria husika tafadhali atueleze....mwanahalisi.co.tz haipatikani hewani,,,,does this mean...
What if people stand on their positions as stipulated in the 1977's constitution in Article 4? what if political parties stop interfering the functions of executive and judiciary? it is my...
Baada ya kuona mkanda wa mauwaji ya mwangosi sidhani kama rpc wa iringa anakwepeka kwa nini asinyongwe...natumaini hata nyeerere analia uko aliko aliowaachia nchi hii..sasa basi nakuja kwa afande...
..naomba msaada wa wanasheria hapa wenye uelewa wa kesi ya madai ya familia ya Lt.Gen.Imran Kombe.
..hivi Daudi Mwangosi hakuuwawa katika mazingira yanayofanana-fanana na mauaji ya Imran Kombe...
Wanajamii ninaomba ufafanuzi wa kisheria kama inawezekana mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi anaweza kushitakiwa kutokana na uwamuzi halali wa bodi katika kikao halali cha Bodi.Tafadhali wanasheria...
Inatisha........, kila sifa jeshi letu la polisi linazo. kabla ya wingu la mauaji ya mwandishi (shujaa) MWANDOSI halijafutika juzi askari mwingine toka tazara amekamatwa na wenzake...
Waelewa wa jambo hili hasa upande waajira hivi mtu akiajiriwa katika wilaya tamisemi je akiacha kazi na kuomba kwingine ataajiriwa? Ila siyo tamisemi tena anaweza akaingizwa kwenye malipo ya...
Naomba kufahamu maana wengi wao wanaonekana kwenye barabara wakideal na magari, daladala, Kwenye supu muda wa kufanya kazi, Kwenye vijiwe vya madalali wa magari mida ya kazi kama pale magomeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.