Je Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi anaweza kushitakiwa yeye binafsi kuhusiana na Uwamuzi Bodi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi anaweza kushitakiwa yeye binafsi kuhusiana na Uwamuzi Bodi?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kitokota, Sep 9, 2012.

 1. K

  Kitokota Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamii ninaomba ufafanuzi wa kisheria kama inawezekana mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi anaweza kushitakiwa kutokana na uwamuzi halali wa bodi katika kikao halali cha Bodi.Tafadhali wanasheria naomba mchango.
   
 2. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  kimsingi haiwezekani kwa sababu yy sio bodi nzima bali ni mumbe wa bodi.akishtakiwa ni kwa niaba ya bodi
   
Loading...