Morgan Tsvangirai ashinda kesi ya ndoa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Morgan Tsvangirai ashinda kesi ya ndoa.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by S2dak_Jr, Sep 13, 2012.

 1. S2dak_Jr

  S2dak_Jr Senior Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa ameshinda kesi dhidi ya pingamizi la kutofunga ndoa liliowekwa na mwanamke mmoja anayedai kuwa ana ndoa na PM huyo wa Zimbabwe.

  Habari zinadai kuwa anatarajia kufunga ndoa na mwanamke wake wa sasa Bi. Elizabeth na kumuacha yule waliyekuwa na ndoa ya kitamaduni.

  Jaji wa Mahakama Kuu aliyesikiliza kesi hiyo kwenye mazingira ya faragha, amesema kuwa ndoa za kitamaduni hazitambuliki kwa sasa na Bi. Tembo hakustahili kufikisha shauri hilo kwenye Mahakama Kuu.

  Bi. Tembo ameshauri kulipeleka shauri hilo kwenye Mahakama za chini na si kuzuia ndoa bali afikishe hoja ya kugawana mali kwani ndoa za kitamaduni hazitambuliki na katiba/sheria za nchi hiyo.

  Rais Robert Mugabe anatarajiwa kuhudhuria misa ya ndoa hiyo na kuwaandalia sherehe Ikulu, Mjini Harare.

  Source: bbc.co.uk/swahili
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  udhalimu na uonevu unamwisho.
   
 3. S2dak_Jr

  S2dak_Jr Senior Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Masuala ya kimahakama yana sura mbili, yaani haki na sheria. Kama ni kweli una haki na ukashindwa kuthibitisha kisheria, basi haki yako inaweza kupotea.
   
 4. S

  S.M.P2503 JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 463
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hataki Morgan aoe mwanamke mwingine na wakati huo huo ampimie kinyama ugomvi ( pressumably) ! Kazi kweli kweli na akina mama zetu! Si amtakie tu harusi njema au bado tu ana matumaini ya kwamba ataendelea kutifuliwa na Tsvangirai?
   
 5. S2dak_Jr

  S2dak_Jr Senior Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Issue hapa ni kuwa First Lady kama jamaa akiichukuwa nchi au kuwa PM's Wife kama akiolewa yeye.
   
 6. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hadithi kama ya hapa kwetu......kwanini viongozi wA upinzani wanakuwa na matatiZo ktj ndoa zao???
   
 7. e

  emalau JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Henry Kissinja the former US secretary of state said and i quote: "Law is like the web, it's to strong for the weak and too weak for the strong"
   
Loading...