Hawa Traffic wa Njiro wamezidi kupokea rushwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa Traffic wa Njiro wamezidi kupokea rushwa!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by siyabonga, Sep 10, 2012.

 1. s

  siyabonga Senior Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu, kiwavi hiki cha utawala mbaya na rushwa katika Jeshi hili kitaisha lini?

  Mfano, hawa traffic wa barabara ya kwenda Njiro, Arusha, wanasimama katikati kabisa ya bara bara, kila gari lazima wasimamishe na kuomba rushwa bila aibu! Why?

  Hawana kazi nyingine za kufanya au njia ya kiakili zaidi ya kutekeleza majukumu yao? Mfano, kutoa elimu ya usalama barabarani mashuleni na vyuoni?
   
 2. a

  annalolo JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazi nyingine ya kufanya kama wangepata hiyo nafasi kupiga watu mabomu ya machozi, risasi za moto, na maji washawasha. kama hawajapangiwa kufanya hivyo iliyobaki ni rushwa
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Wakikuomba rushwa waambie wakupe namba yao ya simu na uwatumie rushwa iyo kwa tigo pesa\m-pesa alafu tutaanzia kesi hapo.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 4. e

  emalau JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Natamani tumkodi Kagame kwa miezi mitatu tu ujinga huu hutauona!
   
Loading...