Igp mwema na rpc wa iringa wahusika wakuu wa mauwaji ya mwandishi mwangosi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Igp mwema na rpc wa iringa wahusika wakuu wa mauwaji ya mwandishi mwangosi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by BASIASI, Sep 10, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Baada ya kuona mkanda wa mauwaji ya mwangosi sidhani kama rpc wa iringa anakwepeka kwa nini asinyongwe...natumaini hata nyeerere analia uko aliko aliowaachia nchi hii..sasa basi nakuja kwa afande igp mwema hiiv ni nani anatoa ruksa ya kuhamisha polisi kutoka mkoa mwingine kwenda mwingine kama ni wewe kwa nini usihusike na mauwaji haya kwa kukubali kutoa polisi dodoma na kuwapeleka iringa wakiwa na gari la maji ya kuwasha

  samahani nasikia mkono unatoa machozi naamini umesoma mwema na najiuliza kwa nini uko madarakani mpaka sasa
   
Loading...