SHERIA INA SEMAJE KUHUSU hili.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SHERIA INA SEMAJE KUHUSU hili..

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by DAVIES, Sep 1, 2012.

 1. D

  DAVIES JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 513
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Waelewa wa jambo hili hasa upande waajira hivi mtu akiajiriwa katika wilaya tamisemi je akiacha kazi na kuomba kwingine ataajiriwa? Ila siyo tamisemi tena anaweza akaingizwa kwenye malipo ya serikali tena payrol
   
 2. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,360
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Kabla hujaacha kazi unaomba kwenda kusoma then ukiwa masomoni kumbuka unalipwa bado na tamisemi, unaanza kusomea mambo ya kule unakotamani kufanya kazi na ukimaliza masomo una-apply kule kupya ukikubaliwa unatoa taarifa kwa mwajiri wa awali. Unahamia
   
 3. D

  DAVIES JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 513
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  wadau hakuna mchango?
   
 4. k

  kelvinkipeta Senior Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  be specific unauliza payrol au unauliza kama kuna possibility ya kuajiriwa tena.or both?
   
 5. e

  elimsu Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo inawezekana kabisa just uwe muwazi kwa mwajiri wako wa awali
   
 6. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Kama nafasi imetangazwa mahali pengine,na unazo sifa za nafasi hiyo,ni kitu rahisi.Unaomba ukipata unaajiriwa.
   
Loading...