Nini hasa majukumu ya askari police tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini hasa majukumu ya askari police tanzania.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Babu Ubwete, Sep 10, 2012.

 1. B

  Babu Ubwete Senior Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 26, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba kufahamu maana wengi wao wanaonekana kwenye barabara wakideal na magari, daladala, Kwenye supu muda wa kufanya kazi, Kwenye vijiwe vya madalali wa magari mida ya kazi kama pale magomeni chipolopolo. Je uzalishaji wao unapimwa kwa target zipi kama individual policeman. Kuzuia maandamano, Kulinda viongozi etc. Imetokea tabia ambaypo si nzuri ya askari kugeuka wote wanasimamia usalama barabarani ilihali wapate chcohcote kitu. Nadhani ni lazima tupunguze matumizi ya serikali ikiwemo kupunguza watumishi wasioingiza pesa yoyote haswa hapa mjini. Askari wanahitajika sana Tarime,Rorya,Mbamba bay ambako huduma zao zinahitajika kuliko kujaa kwenye mitaa ya dsm.
   
 2. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kulinda Usalama wa Raia na mali zao
   
Loading...