kuna uhusiano wa kulifungia gazeti na kufungia website? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna uhusiano wa kulifungia gazeti na kufungia website?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by snochet, Sep 11, 2012.

 1. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hivi gazeti likifungwa,mfano Mwanahalisi, na website yao pia hairuhusiwi kufanya kazi?........anayefahamu sheria husika tafadhali atueleze....mwanahalisi.co.tz haipatikani hewani,,,,does this mean hata archives haturuhusiwi kusoma?...nawasilisha
   
 2. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  kwa sheria za kitanzania, hakuna cyberlaw.
   
 3. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  AMAZING...nimeangalia sasaivi,imerudi hewani....maajabu ya musa
   
Loading...