Mawakala wa ushuru na forodha pamoja na wateja wa bandari ya dar waandamana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawakala wa ushuru na forodha pamoja na wateja wa bandari ya dar waandamana

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kwayu, Sep 11, 2012.

 1. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Baadhi ya wateja na mawakala wa ushuru na forodha ktk bandari ya dar wanaandamana muda huu wakishinikiza kuonana na Mwakyembe. Hii ni baada ya utaratibu mpya alotangaza waziri wa jinsi ya kulipia mizigo kuwa kikwazo na karaha ktk utoaji wa mizigo. Waandishi wa habari mnaweza kwenda maeneo ya bandari kupata taarifa zaidi.
   
 2. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Haka ka nchi ni migomo na maandamano daily!why ?
   
 3. m

  mnduoeye Senior Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali dhaifu imeshindwa kuongoza nchi ya Tanzania kila mmoja anakuja na lake hakuna msimamo wa pamoja
   
 4. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Mh!wakalipie benk huko hamna lolote ni wizi na utaratibu wa kutaka kumuhujumu tu,wameambiwa walipie ben malipo yote kwanini wakatae kama sio wizi?............harakati nyingine za hovyo hovyo tu.
   
Loading...