Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Ingawa dhamana ni haki mtu kikatiba, lakini Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo wa Karatu, Martina Fue anawanyima watuhumiwa dhamana ama kuweka masharti magumu kwa sababu anazozijua mwenyewe. Hali hiyo...
Kiufupi dogo alizaa na mwanamke mmoja ambae hakuja kuishi nae na mtoto ana miaka mitatu sasa.
Tatizo liko kwa mwanamke kukosa hekima, dogo anamtunza mtoto kama kawaida anatoa pesa za chakula na...
Habari wana Jamii,
Kwa heshima na taadhima naombeni msaada wa mawazo (Kisheria) katika hili.
Mwishoni mwa mwezi wa tatu mdogo wangu anayesoma kidato cha nne alipotea nyumbani majira ya saa 2...
Habar za kwenu Ndugu zangu kuna jambo naomba kujuzwa eti si kosa kwa mapacha wanaofanana kutumia lesen moja ya gari.
Cheti cha shule iwapo mmoja alifeli mmoja akaendelea bas wanapasiana vyeti...
Ni mda mrefu kidogo tangu hoja mbalimbali zilianza kutolewa na watu hususani wanaharakati wa haki za binaadam(human and peoples rights activists) na wanasheria mbalimbali(lawyers social group)...
habari zenu wanajukwaa... Natumain nyote mu bukheri wa afya na kwa wasio vyema basi mungu awainue kiafya..
kuna mtu aliweka poni kiwanja chake kwa bei ya shiringi elfu thelathini hivi na hiyo...
Juzi nilikuwa maeneo ya selander bridge naelekea upanga. Kwa bahati mbaya kwenye mataaa taa ya njano ikanikuta nipo mbele ya zebra nikasita kuendelea maana nikajua nyekundu itanikuta mbele tu na...
Salaam wana JF.
Nianze kwa kukushukuru kwa mchango wako. Asante sana!
Kuna watu wanaendesha mradi Fulani Wa wakulima hapa Mwanza. Ni mradi unaodhaminiwa na watu Fulani kutoka US.
Sasa mwishoni...
Miezi michache ilopita kuna jamaa mmoja alikuwa anatuhadithia kuwa alikuwa Coco Beach na "kiburudisho " chake, baadaye wakajisikia " wadudu wananyenvua nyenvua", wakaamua kumalizana katika gari...
Habari. Napenda kujua, Sheria ya Kazi inataka mfanyakazi afanye kazi saa ngapi kwa siku?
Wafanyakazi wa CRDB Bank hasa Tawi la Premie huwa manatakiwa saa 1:30 asubuhi wawe wako ofisini...
Wakuu poleni kwa majukumu.
Naomba ushauri wenu wa kisheria juu ya jambo hili.
Nulinunua nyumba iliyouzwa kwa mnada kupitia kwa dalali alieteuliwa na Benk fulani iliyoko jijini Dar es Salaam...
Mwezi wa 11 mwaka jana kijana wangu wa kazi ambaye alidumu kwa siku 6 tu, alivunja ndani kwangu na kuiba vitu vya thamani karibu Tzs mil 30. Lap top, simu za mikononi ambazo nilikua situmii, vitu...
Nimesikia kwamba mwanaume na mwanamke wakiishi pamoja kwenye nyumba moja kwa zaidi ya miezi sita kisheria automatically wanakua mke na mume hii kwa sheria za Tanzania ipo?
Habari nyote.
Msimamizi wa mirathi moja iliopitishwa mahakamani tayari hapa Tanzania, kamgawia mwanae nyumba ambayo ni mali ya marehemu.
Msimamizi huyu ni mdogo wa kuzaliwa tumbo moja na marehemu...
Habari ndugu wana
Jf?.
Naomba msaada wa kisheria kwa urithi wa watoto kwa baba aliefariki akiwa na watoto4 pamoja na mkewe!. Akaacha wosia kwamba watoto wawil kati ya hao hawatamrithi...
SHAHIDI upande wa mashtaka Koplo Waziri, amewasilisha muamala wa M-Pesa kama ushahidi mahakamani.
Ushahidi huo unawasilishwa katika kesi ya kula njama na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu...