Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Nataka kununua eneo Dar lakini nataka kulihakiki kabla sijanunua. Nina coordinates za eneo nataka kuona plan zipo je kwa eneo hilo. Naomba msaada
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina swali kuhusu survival of course of action.
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Habari zenu wanajamvi Nimepata shida sana katika kulijua hili na bado sijalijua vyema.Kama nchi inataka kujigawa na kuunda nchi nyingine hufuata sheria gani?Na ni mambo yapi yatakayozuilia nchi...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Ndugu wanajamvi, Binafsi nakerwa sana na ninaposimamishwa na traffic kisha kuombwa leseni, kadi ya gari na wakienda sana ni fire extinguisher na triangle! vitu hivi ni muhimu kuwa navyo na hasa...
1 Reactions
58 Replies
14K Views
Naomba majina ya Sheria hizi: Cap. 391 Cap. 392 Cap. 390 Cap. 393 Cap. 394 Cap. 395 Cap. 317 Cap. 413
0 Reactions
5 Replies
998 Views
Habari zenu wakuu., Ninaomba kujua sheria hapa ikoje, nielezee kwa kifupi tu swala lenyewe. Mzee wangu mimi alinunua kiwanja maeneo ya kibaha, ni kiwanja kilichopimwa kabisa. Yeye aliuziwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wakuu, asalaam aleiykum Ama baada ya salaam, kama kichwa cha post kinavyojieleza, naomba yeyote mwenye Katiba ya Tanzania ya 1977 anisaidie. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni flani hapa Dsm na mkataba wangu wa kazi unaisha Desemba 2017. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kampuni inampango wa ku outsource operations zake kwenye kampuni...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ivi mtu wanaofungwa kifungo cha maisha, hua hawapati msamaha wa rais?!
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo najisikia amani sana tu. Nataka kusambaza upendo. Sasa kwa wale wanasheria wanaosoma vyuoni, au wanapenda kujisomea. Nataka kugawa vitabu vya sheria vya Cambridge. Vipya vya mwaka 2012-2016...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie sheria inasemaje? mm nimezaa na mwanamke mtoto mmoja wa kiume nikapewa tangazo Hospitali na nikaenda Rita nikachukua cheti cha mwanangu cha kuzaliwa mtoto ana miez 10. Bibi yake...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
naomba kuelimishwa, hivi mtu unayemfahamu kama ndugu akikupigia simu akakutishia kuwa atakuua ni hatua gani unaweza kuchukua??? Mtu huyo ametumia namba yake halisi na sababu ya kutoa vitisho hivyo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habar wanajamii, Kwa mwenye ufahamu wa sheria inayohusiana na Financial guarantor, kwa mtu ambaye tayar amesha ajiriwa na tayar alisha saini mkataba wa kudumu wa kudumu kwa takrbani miaka zaidi ya...
0 Reactions
1 Replies
852 Views
UFAFANUZI KUHUSU MAFAO YA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO. Ufuatao ni ufafanuzi mfupi kuhusu marekebisho ya Sheria za Mifuko hasa kuhusu mafao ya kujitoa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa nia njema tu kabisa nauliza:(na si kwa kubeza au vinginevyo): Kwa nini hukumu nyingi (si zote nisisitize) za Mahakama kuu zikienda Mahakama ya rufaa huwa zinatenguliwa? Nimefanya utafiti usio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajukwaa Naomba mwongozo kuhusu kichwa cha habari! Sheria inasema hizi sticker zibandikwe wapi? Leo traffic kanikamata, nimebandika kioo cha mlango wa kushoto, akaniambia inatakiwa bandikwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu,nina permanent contract na mwajiri wangu ila kila mwaka huwa ananiongezea mshahara ila kwenye mkataba haijaandika huwa tunakaa nakukubaliana tu afu badae anamodify mkataba na kuongeza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
“LAW AND JUSTICE IN TANZANIA”:A QUARTER OF CENTURY OF THE COURT OF APPEAL. (The Book reviewed by Rutashubanyuma Nestory.) The latest book release by Legal and Human Rights Centre-LHRC is...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mimi ni mmoja wa wahanga ambao watoto wao walidhalilishwa na kufedheheshwa na Serikali ya John Pombe Magufuli kwa kufukuzwa UDOM; yaani mwanangu ni 'kilaza' kwa mujibu wa Rais JPM. Kabla ya...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
I have entered into a year lease agreement with my landlord named Charles at a monthly rent of 40,000/= and I took possession of the premises with my landlord consent. But after a lapse of 4...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…