Range rover
Senior Member
- Nov 22, 2016
- 186
- 195
Mke wangu ameondoka na ameenda mahakamani anadai talaka tuachane na pia ameshafungua kesi anadai tugawane mali tulizo chuma wote nyumba mbili kiwanja kimoja na vitu vya ndani na hapa tulipo tayati tuna watoto wawili mmoja miaka 6 mwingine miaka mi 4.Je kuna uwezekano wa kugawana mali kwa mtindo huu kweli??