Habarini wa JF? Mimi nimeajiriwa katika kampuni binafsi mwezi wa tano sasa ila kumekuwa na kutokuwa na maelewano mazuri kiutendaji na waajiri wangu wawili ila mmoja ni muelewa sana. imenifanya nitafute kazi sehemu nyingine na nimepata natakiwa kureport kazini tarehe 1/02/2017 nimetoa notice ya siku 10 na nimesurrender mshahara wa mwezi huu. Cha ajabu wanajibu kuwa hawezi kuja niwakabidhi wapo busy kwa sababu hawaishi nnchini.
Je kisheria nichukue uamuzi gani wasipokuja kuwakabidhi? pia je kuna stahiki zozote nitalipwa?
Je kisheria nichukue uamuzi gani wasipokuja kuwakabidhi? pia je kuna stahiki zozote nitalipwa?