Msaada wa sheria, nimetishiwa na boss wangu kupigwa bastola

Kifwambala

Senior Member
Nov 1, 2016
185
70
Habari
Naomba msaada wa kisheria nimetishiwa na boss wangu kupigwa bastola pindi tukizinguana na mara nyingine amesha zipiga mara kadhaa lakini amekua akiokota maganda lakini nimebahatika kuokota ganda kama nne ninazo nimezihifadhi .suala la kutishia kwa bastola limekua kitu cha kawaida sana lakini kwa mimi nakereka sana maana hii nchi si yake lakini amekua anatunyanyasa nimejaribu kuwaambia wenzangu nataka kumshtaki lakini wenzangu hawana ushirikiano wanahofia kupoteza kibarua hivyo wameniambia hawata kua tayari kwenda kutoa ushahidi na pia wananivunja moyo kua anakula na polisi . je naweza tumia ganda za risasi kama ushahidi na ukajitosheleza na je nianzie wapi kupata msaada utakao kua na nguvu zaidi ya polisi?
 
Back
Top Bottom