Kuingilia uhuru wa mahakama ndo nini maana yake na ni kwa ajili ya nani au nani itamhusu?

haki na usawa

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
481
135
Naomba kufahamishwa juu ya kuingilia uhuru wa mahakama na ni nani anahusika kutekeleza kama imezuiwa?
Mfano Mitambo ya Richmond iliuzwa hali ya kuwa iliamriwa iwe chini ya mahakama wakati kesi ya kukataa kulipa kulipa tozo ikiwa haijatolewa hukumu?Je si kuingilia uhuru wa mahakama?
Je uhuru umevunjwa nini kitafuata?
Je nani anasimamia uhuru huo na watu wake wa kushurutisha amri hiyo itekelezwe wanakaa wapi na akina nani?
Je kama mtu/kikundi kikivunja adhabu yake ni nini? au ni kiasi gani?
Je ni mifano ipi mingine iliyowahi na kusababishwa hapa nchini kuvunjwa kwa uhuru wa mahakama?
 
Ref. Kunyimwa dhamana kwa Lema. Hakimu alikubali kutoa na akabadilika baada ya kuingia ofisini mwake ambapo alipokea maelekezo toka juu!
 
Back
Top Bottom