Je, ni kosa kisheria kukutwa bar baada ya saa 6 usiku?

https

Member
Feb 21, 2014
91
125
Ndugu wanaJF,

Rafiki yangu mmoja kanipa taarifa kua jana usiku walikamatwa na Police Keys Pub Kimara kwa kuwa bar baada ya saa sita usiku na leo wamepelekwa mahakamani Mbezi mwisho.
Nijuavyo mimi, kosa hapo ni la mwenye bar.

Je, sheria za nchi zimebadilika? Na kama wamekamatwa kimakosa, wanawezaje kupata haki baada ya kulipishwa faini ya elfu 50 kila mmoja au kuhukumiwa jela miezi sita?
 
Top Bottom