Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Nawashangaa Wanasheria wetu kukaa kimya wakati wananchi wanahangaika kupata tafsiri kisheria Juu ya uteuzi wa Wabunge 6 wanaume uliofanywa Na Mh.Rais.Niliamini wanasheria wetu wangetusaidia wananchi kujua Katiba Yetu inasemaje Juu ya uteuzi huo lakini nao wako kimya kama vile hawajui.Tunawaomba mtusaidie.