General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Inatambulia Tanzania kama Taifa haina Dini. Ni nchi isiyoendeshwa kwa dini.
Pia inatambulika vema nchi yetu ina wenye imani tofauti zenye kuamini Mungu na zisizo amini Mungu.
Watu ambao hawaamini uwepo wa Mungu tupo wengi na tuna haki sawa na wenye imani hiyo.
Kwa Takribani miaka zaidi ya 50 tusiokuwa na dini naona kama tumetengwa katika siasa yetu.
Serikali imekuwa ikiwasikiliza viongozi wa dini na kuliacha kundi kubwa ambalo halina imani ya Mungu.
Sasa nina andaa wanasheria ambao watafungua kesi Mahakama Kuu kuondoa Neno Mungu katima Wimbo wa Taifa.
Baada ya hapo nitaandaa conference ya wote wasiokuwa na dini ili na sisi tuwe na uongozi wetu.
Nawasilisha.