Kwa miaka ishirini sasa Ndugu, Sila Sutharat amekuwa akichoma Kuku na Kitimoto kwa kutumia nguvu ya jua pekee.
Ndugu huyu anasema kuwa wazo wa uchomaji wa vitoeo kwa njia ya mwanga wa jua ni wazo...
Kero yangu siku ya leo ni nyie mama ntilie, nianze kwa kudiclea interest kwamba mnatusaidia sana kutuhifadhi mjini kwa kutupatia shibe kwa bei chee, ila nimegundua mna tatizo sugu la kutoivisha...
MAHITAJI
1.Karanga za kusagwa
2.Chumvi
3.Unga wa mlenda
4.Maji
Jinsi ya kuandaa
Chukua karanga zilizosagwa vizuri loweka kwenye bakuli la maji,baada ya muda anza kuzikoroga utokee uji mzito kiasi...
Habari zenu wakuu, naomba mwenye ufahamu wa kupika popcorn zinazokuaga na ladha ya sukari ilitupate kufahamu hapa jukwaani kwa faida ya wengi karibuni!!
Mahitaji
1)Karanga kg 1/4
2)Asali kijiko 1.5 cha chakula
3)Peanut oil au mafuta yeyote kijiko 1 na nusu cha chakula
4)Chumvi 1/2 kijiko cha chai (kama peanut zake hazijakua roasted na chumvi)...
Wasalaam ndugu zangu,
Kuna mboga fulani inaitwa mlenda niliwahi kula zamani kidogo,
inakuwa imelojeka sana. Sasa kutokana na kuisoma namba nataka nijifunze kupika hii kitu ili kubana matumizi...
Sukari yeyote ni hatari katika mfumo wa mwili, Wataalam wanathibitisha uwepo wa takribani vijiko 10 vya sukari katika kila chupa moja ya soda, kwa maana hiyo unapokunywa soda 5 kwa siku maanake...
Heshima kwenu brothers and sisters
Napenda kutambulisha kwenu app inayoitwa "Appetite" ambayo inakupa uwezo wa kuandika recipe zako (maelekezo ya mapishi) na kushare na watumiaji wengine wa app...
Toka nikiwa mdogo na mpaka sasa huwa naona katika matumizi ya samaki(kula) watu wengi huwa hawali vichwa vya samaki pia katika maandalizi ya dagaa(mboga) watu huondoa vichwa.
Mi naona kuondoa...
Unakuta unavunja yai na kile kiini cha njano kinasambaa na kuchanganyikana na ute hata kabla hujalikoroga. Hili yai bado zima?.
Nawezaje kujua yai limeharibika au la?
Habari nduguz. mwenye namna ya kuteblngeneza kalimati anielekeze pls. recipe nlopewa mara ya mwisho zilitoka nyembamba na zilinyonya sana mafuta, in short sikuzifurahia. Msaada tafadhali.
Wadau,
Hivi ni kwanini ukitafuna karanga mbichi na dagaa wabichi, unapata radha flani ya kushangaza(sio mbaya)?
Embu jaribu leo kisha nawe ushangae.
Note; Hakikisha hujashiba kama mbu wa...
Habari zenu wapishi wote natumai mko salama
Ningependa tujumuike pamoja katika kujifunza mapishi mbalimbali kupitia ukurasa wangu wa Instagram ambao nimefungua siku chache zilozipota..
Ukurasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.