Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Snacks made up of eggs are tasty and easy to make. Whenever we want to eat something healthy as well as tasty, one thing that comes to our mind is egg. Let us see how we can make an easy and quick...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kitindamlo au dessert ni chakula kinacholiwa mwishoni mwa mlo. Mara nyingi huwa ni chakula chepesi na chenye sukari kama matunda. Binafsi, napenda sana sukari na siku nikiamua kupika lazima kuwe...
8 Reactions
19 Replies
7K Views
Jamani jana nilitengeneza cocktail ya Konyagi, Asali na Sprite sasa tatizo sikuenjoy sana kichwa kikaanza kuuma, Je kuna yeyote ambaye amewahi kutengeneza Cocktail ya asali na Kilevi? Sio mahali...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Wataalam wa cocktail naomba mnipe mchanganuo wakutengeneza cocktail ambayo itakua mbadala wa bia katika birthday yangu ili kuokoa hela mana watu watakua wengi, nahitaji itayokua strong ya...
1 Reactions
23 Replies
11K Views
Salam kwenu wanajukwaa, kwamuda mrefu hili swala la namna ya kuandaa yogurt zenye ladha mbalimbali ie,vanilla limekua likinisumbua, kwa mwenye ujuzi tafadhali naomba msaada wa namna ya kuandaa...
1 Reactions
44 Replies
19K Views
Mapishi ya mboga mchanganyiko Pale unapokuwa na haraka ya kuandaa chakula kwa muda mfupi au umetoka kwenye mihangaiko na umechoka sana ni vizuri kuandaa chakula rahisi na ukafurahia na familia...
2 Reactions
9 Replies
6K Views
Ten foods you didn't know could be frozen: How avocados, coffee and eggs can last for six months (and taste as good as fresh) Avocados, cheese and even leftover coffee and wine can also be frozen...
6 Reactions
17 Replies
5K Views
wapendwa nawasalim sana na hongereni kwa kulipamba jukwaa kwa mapishi mbalimbali. Msaada ninaoomba kwenu ni kwa yeyote anayejua kupamba cake kwa fondant. nimeeanzisha kamradi ka kutengeneza...
1 Reactions
5 Replies
23K Views
Jinsi ya kupika pweza Mahitaji [*=left]70 gram kitunguu swaumu [*=left]150 gram kitunguu maji kata kata [*=left]150 gram karoti kata vipande vidogo [*=left]1 pilipili ya kijani fresh a...
4 Reactions
56 Replies
42K Views
Somo langu la pili Leo ninamna ya kuunda chilli sauce kijana mama baba Dada acha kuzubaaa maisha yako yako mkononi mwako waweza badilisha maisha yako mwenyewe kwa kutumia mikono yako karibu...
3 Reactions
6 Replies
8K Views
JINSI YA KUANDAA NA KUPIKA DENGU ZA NAZI NA VIAZI . Vipimo: 1. Dengu zilopasuliwa 2 vikombe 2. Viazi 3 3. Kitunguu 1 4. Nyanya 1 5. Pilipili mbichi na thomu iliyosagwa 1 kijiko cha chai...
1 Reactions
0 Replies
7K Views
JF salaam! Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naomba mwenye maujuzi ya kupika crisps anisaidie napenda sana hii kitu nahitaji wife awe ananiandalia nyumbani badala ya kununua kila siku...
1 Reactions
24 Replies
40K Views
habari wanajf.mimi ninatatizo la unene .miaka yangu ni 40 na urefu kama fut 5.uzito km kilo 90.nilikwenda kwa doctor akaniambia nipunguze uzito .sasa sijui nile diet ngani ili nipugue ?naomba...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Naomba kujua jinsi ya kupika bagia alafu pia kujua tofauti ya bagia za Tz naza Kenya coz wakenya wanasema bagia kwao ni viazi vimewekwa unga wa rangi vika kaangwa!
1 Reactions
4 Replies
8K Views
Jamani kama hujawahi kufeel utamu wa Yesu ndo huu sasa nakuletea leo! Halelujah!!! Recipe kutoka kwa mapacha wangu Tia Mowry - Wikipedia and Tamera Mowry - Wikipedia na madoido kidogo...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Mahitaji muhimu Nyanya kubwa 2 Vitunguu maji 3 Karoti 3 Pilipili hoho ya kijani 1 Pilipili hoho nyekundu 1 Tango 1 Kotmiri 1/2 fungu (1/2 kicha) au 1/2 bunch Majani ya iliki (parsley) 1/2 fungu...
1 Reactions
25 Replies
29K Views
Wakuu habari za muda huu. Jana kuna mfanyakazi mwenzetu ni mwenyeji wa Bukoba alikuja na senene wamepikwa vizuri sana nadhani hakuwala akawa amempa mwenzetu. Sasa leo nikawa nimeziona nikasema...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Masau al-khair wanaJF. Leo nawakaribisha jikoni kwangu tupike chakula cha jioni. Mahitaji: Cherry tomatoes, tomato paste, red onions, chopped garlic, seasoned salt, black beans, coconut milk...
8 Reactions
36 Replies
5K Views
Hello wana JF chef, Ni mara yangu ya kwanza kupost humu. Ila si mbaya kama tukibadilishana ujuzi na maonjo kidogo kwenye afya na vyakula. Mimi napenda juisi ya matunda yenye tangawizi kidogo pia...
1 Reactions
8 Replies
12K Views
Wapendwa tunawasalimu wote, Mimi na mwenza wangu Evelyn Salt salt tunawakaribisha jikoni kwetu. Leo tutatengeneza 'ranger cookies' sijui kwa kiswahili tutaziitaje...biskuti za ??? Njia...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
Back
Top Bottom