Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,569
- 9,429
Mahitaji
1)Karanga kg 1/4
2)Asali kijiko 1.5 cha chakula
3)Peanut oil au mafuta yeyote kijiko 1 na nusu cha chakula
4)Chumvi 1/2 kijiko cha chai (kama peanut zake hazijakua roasted na chumvi)
5)Chupa yenye mfuniko ya kigae (kwa kuhifadhia peanut butter yako)
Namna ya kutayarisha
1)ondoa maganda karanga zako
2)Osha vizuri then weka zikauke vizuri
3)Zioke katika oven dakika 30-35 minutes, moto 350F
4)Subir zipoe kidogo then mimina karanga katika blender ama food processor...saga dakika 1 acha kidogo saga hadi iwe laini
5)Ongeza asali,chumvi na mafuta saga hadi iwe laini... 6)Hifadhi katika chupa yako then weka kwenye friji