Mahitaji
1.Viazi mbatata kilo 1
2. Mabamia fungu 1 kubwa
3. Mabiringanya makubwa 2
4. Karoti
5. Mafuta ya kupikia
6. Nyanya
7.Vituungu maji 2
8. Swaumu
9. Ndimu
10. Chumvi
Jinsi ya kupika
1...
Habari za jioni fellow chefs. Naomba tutumie thread hii kujuzana ingredients zinazotutatiza. Kama una picha sio mbaya kuambatanisha katika ufafanuzi. Mfano kuna vyakula ambavyo hujui Kiswahili...
Mishkaki Ya Nyama
Mahitaji:
Nyama steki...............4 Ratili (2 Kilo)
Mafuta........................3 Vijiko vya supu
Masala ya Kurowekea Nyama:
Kitunguu saumu/thomu na tangawizi...
Jinsi ya kutayarisha (CHACHANDU YA PILIPILI) yaani pilipili ya kusaga..
Mahitaji:
1.Pilipili
2.Tangawizi
3.Kitunguu saumu
4.Ndimu natural au mchina
5.Chumvi
6.Nyanya
7.Kitunguu maji na...
Naombeni kujuzwa namna ya kutengeneza ladha tofauti tofauti za bisi/pop corn vitu ambavyo wanachanganya.. mpaka sasa nimejua kuna ladha ya chokoleti, sukari tangawizi lakini sijajua vitu...
Naomba wataalam wa kutengeneza zile karanga flani ivi zinakua sijui na mayai ambazo naziona kwenye masuper market au sherehe ambalo wanaita bites anipe recipe yake tafadhali.
CC gfsonwin...
Simfahamu huyu dada lakini mapishi yake yamenifanya nione maisha rahisi sanaaaa!
Antumia lugha ya kiswahili na anaeleweka sana kwakweli.
Youtube Chanel yake inaitwa Aroma of Zanzibar.
Mabachela...
Habari wadau!
Binafsi sijawahi tumia hiki kifaa au kukikuta kinatumika mahala popote nilipoenda( kwa majirani, marafiki, ndugu n.k) em' tufahamishane kinakazi gani na kunatofauti gani kati ya...
Wanajukwaa naomba mwenye kujua namna ya kutofautisha yai la kuku ni lipi la kisasa na ni lipi la kienyeji kwa kuliangalia tuuu mwonekano wa nje. Msaada tafadhali.
Yafuatayo Ndiyo mahitaji ya kutengeneza nyanya chanzo.
1. Nyanya kilo 1.
2. Vitunguu maji viwili.
3. Vinegar vijiko 3 vya chai.
4. Sukari vijiko 2 vya chai.
5. Chumvi kijiko Kimoja cha chai
6...
Vipimo
Majimbi (Eddoes) kiasi 6 au 7
Nyama ng’ombe ½ kilos
Tangawizi ilosagwa 1 kijiko cha kulia
Haldi (bizari manjano/turmeric) ½ kijiko cha chai
Tui zito la nazi vikombe 2
Chumvi kiasi
Namna Ya...
Usiukimbize , bado una nafasi ya kipekee jikoni kwako. Haipendezi kukoroga juisi na vijiko vya bati au platisiki tumia miti, upawa na mwiko ndiyo marafiki zako hapa.
Si jambo la kufurahia upawa...
Mchuzi huu hufaa wale wenye familia kubwa,
Mahitaji:
fungu moja la vibua,
vitunguu,
nyanya,
tomato paste,
limao,
chumvi, oxo.
Osha vibua toa utumbo na vichwa,
Weka limao na chumvi...
Vipimo
Boga la kiasi - nusu yake
Tui zito la nazi 1 ½ gilasi
Sukari ½ kikombe
Hiliki ½ kijiko cha chai
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Menya boga kisha katakata vipande vya kiasi.
Weka katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.