Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wadau mimi ni mnunuzi wa maziwa. Mara kadhaa nakuja gundua maziwa yamechanganywa na maji pale ninapo yachemsha. Hapo tayari nimekuwa nimepata hasara kwani tayari nimeshayanunua. Kama kuna njia...
1 Reactions
27 Replies
11K Views
1.Sufuria Ili uweze kupika kitu cha kwanza unachohitaji ni sufuria. Sufuria ni chombo ambacho kinatumika kila siku katika mapishi mbalimbali hivyo ni vyemaa ukanunua sufuria bora ambazo...
6 Reactions
1 Replies
11K Views
Huu ni mlo wa kuliwa na watu wawili. Kama watu ni wengi ongeza idadi ya ndizi na nyama. MAHITAJI YA CHAKULA HIKI Ndizi mbichi 4 (nimetumia ndizi malindi), menya na kata vipande vidogo, hifadhi...
5 Reactions
5 Replies
4K Views
Shalom wapendwa katika Bwana. Mapishi ya keki ya chocolate yapo mengi leo nawawekea pishi hili. Mahitaji Unga wa ngao 250g Kokoa vijiko vya mezani(tbsp) 3 Baking powder vijiko vya chai(tsp) 2...
2 Reactions
3 Replies
8K Views
1. Kuondoa unga wa ngano uliogandia kwenye mikono kwa haraka. Chukua unga wa mahindi na usugue mikono kisha uioshe na maji, unga wa ngano uliogandia utaondika kwa urahisi kuliko kuosha na maji...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Njegere Ni chakula cha kawaida kabisa kwa watanzania wengi. njegere hizi hutumika kwa milo tofauti ya siku ukipenda Njegere zina namna tofauti pia hata katika mapishi yake na hii ni moja ya namna...
8 Reactions
7 Replies
8K Views
Leo tuzungumzie kuhusu vinywaji vya asili, yaani vinywaji vilivyotokana na mimea na wanyama, mfano miwa, madafu, matunda mbalimbali na maziwa pia. Inashauriwa kunywa maji kwa wingi si chini ya...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Jinsi ya kupika keki ya ndizi na chocolate chips Jaribu mapishi yafuatayo na ufurahie na familia na marafiki wako Keki ya Ndizi ikiwa na vipande vidogo vya chokoleti (chocolate chip) Viungo...
0 Reactions
1 Replies
13K Views
Ukimarinate nyama au samaki kwa viungo( vitunguu saum, tangawizi, masala) ongeza mafuta kidogo na mtindi vijiko viwili inalainika na kunoga Ukikosa vanila unaweza saga Ganda la limao bichi...
13 Reactions
15 Replies
10K Views
Kwa wapenzi wa nyama ya nguruwe, ktk kutafuta kitimoto kwa muda mrefu sasa nimegundua kuwa sehemu nyingi ambapo nguruwe anapikwa ni pachafu mazingira yake hayalidhishi. Hii ni kwa nn? Au kuna...
0 Reactions
113 Replies
18K Views
Habari ya leo wadau wa jinsi ya kupika. Karibuni tena jikoni tuandaeandae vitu vizuri, leo ni mchuzi wa kima au mchuzi wa nyama ya kusaga. Ni kitoeleo kizuri cha wali, mkate, chapati na hata...
3 Reactions
6 Replies
11K Views
Jinsi ya kutengeneza Kalimati ya maharage: Maharage yanatumika katika mapishi aina nyingi sana, Leo tutapika kalimati kwa kutumia maharage!. Kaimati hii ni nzuri sana kwani ina maharage yenye...
2 Reactions
4 Replies
6K Views
Baking powder na baking soda zote vinatumika kwa kazi moja ya kuumushia au kuchachua chakula kama mkate, cake, biskuti na baadhi ya vyakula lakini vina tofautiana kikemikali. Baking soda kwa jina...
7 Reactions
8 Replies
38K Views
SEMI RICE PANCAKES / VILOSA : Mahitaji : Mchele 1/2 Kikombe Unga wa semolina kikombe 1 Tui la nazi 3/4 Kikombe Maziwa fresh 1/2 Kikombe Mayai 3 Hamira 1 kijiko cha chai kijae Rose essence...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu Chefs Nahitaji msaada wa Maelezo mazuri kabisaaa juu ya namna bora ya Kutengeneza Mtindi Fresh wenye mbwembwe na Madikodiko kibao yaan ue bora zaidi ya Mtindi wa Tanga Fresh au Youghut...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
nataka mwanaume anaejua kupika
3 Reactions
70 Replies
7K Views
Wakuu karibuni hapa ni self service.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habarini Wakuu , naomba kwa anaejua utaalam wa mapishi ya vibama vya ndizi anifundishe .. Nasubiri mrejesho toka kwenye wataalam
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Mahitaji 1.Viazi mbatata kilo 1 2. Mabamia fungu 1 kubwa 3. Mabiringanya makubwa 2 4. Karoti 5. Mafuta ya kupikia 6. Nyanya 7.Vituungu maji 2 8. Swaumu 9. Ndimu 10. Chumvi Jinsi ya kupika 1...
3 Reactions
32 Replies
17K Views
Mahitaji 1)Samaki mkubwa... 2)nyanya 2.. 3)kitunguu thomu 1 teaspoon.. 4)tangawizi 1 teaspoon 5)bizari ya njano kiasi 6)bizari ya pilau 1 teaspoon... 7)ndimu 2... 8)kitunguu maji 1.. 9)chumvi...
22 Reactions
85 Replies
21K Views
Back
Top Bottom