Tujuzane njia rahisi ya kunyonyoa Bata (Muscovy duck)

Chief Wingia

JF-Expert Member
Jul 12, 2013
2,651
4,739
Habari wapendwa
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba tujuzane kwa mwenye uzoefu wa kunyonyoa bata kwa urahisi zaidi
Bata.jpeg
 
Kule kwa bibi zamani, tulikuwa tunamsugua na unga wa mahindi ili awe msafi km Kuku. Baadae ya kumnyonyoa eti manyoa yanaota tena unga ndiyo unaondoa.
 
chemsha maji ya kutosha
kata shingo
akishakufa akiwa hajapoa sana akiwa na jotojoto lake mdumbukize kwenye hayo maji yanayochemka hakikisha kila eneo limepata maji ya kutosha mzungushezungushe kwenye maji kama dkk 1 na nusu hivi .baada ya hapo mtoe muache sec kadhaa manyoya yapoe anza kuyatoa .ukishamaliza chukua unga wa mahindi msungue nao weee baada ya hapo muoshe na maji baridi atakuwa anawaka vizuri tu
 
"Na wakati wa kunyonyoa usitaje neno bata maana manyoya yataota tena na kazi kuwa ngumu"!
Wasee wa samani nachanganya...... Oooooh
.....
.... Na usushi na maneno mbofumbofu.

Mr ebbo
 
Hhhaa kuna comment nimesoma nimejikuta nacheka mwenyewe ..sijawah kula bata waka kunyonyoa nimesogea karibu nijifunze kitu
 
chemsha maji ya kutosha
kata shingo
akishakufa akiwa hajapoa sana akiwa na jotojoto lake mdumbukize kwenye hayo maji yanayochemka hakikisha kila eneo limepata maji ya kutosha mzungushezungushe kwenye maji kama dkk 1 na nusu hivi .baada ya hapo mtoe muache sec kadhaa manyoya yapoe anza kuyatoa .ukishamaliza chukua unga wa mahindi msungue nao weee baada ya hapo muoshe na maji baridi atakuwa anawaka vizuri tu
Shukran mkuu
 
Kazi kweli kweli ndio maana silagi bata....

Hivi ana ngozi nyeusi kama kanga ndio maana anasuguliwa???
 
Back
Top Bottom