Kwanini ukitafuna dagaa na karanga mbichi unapata ladha ya kushangaza?

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
30,630
37,152
Wadau,

Hivi ni kwanini ukitafuna karanga mbichi na dagaa wabichi, unapata radha flani ya kushangaza(sio mbaya)?

Embu jaribu leo kisha nawe ushangae.

Note; Hakikisha hujashiba kama mbu wa asubuhi, maana unaweza nifungulia kesi, kazi kwako.
 
Back
Top Bottom