Kabisa mkuu, unaweza kufanya hata kwenye harusi au sherehe yeyote ukawa na kitu unique.
Huku kwetu Kwamtogole harusi ni pilau na kipande cha tango pembeni unashushia na soda.
Kweli kabisa matunda tunayokula kwenye sherehe ni nyanya,kitunguu,karoti,limao ,tango kama kachumbali
Hahahah,
Mkuu kitunguu siyo tunda bwana.
Ni nini sasa jaman?
Vegetable(Mboga za majani) tena iko kwenye kundi la Bulbs.
unaiandaa kwa gharama zako binafsi bila michango ili wakose pa kulaumiaSio kwa harusi za uswahilini maana badala ya wagen kukupongeza wataishia kukulaumu utadhan sherehe ya kwao.
unaiandaa kwa gharama zako binafsi bila michango ili wakose pa kulaumia
Sio kwa harusi za uswahilini maana badala ya wagen kukupongeza wataishia kukulaumu utadhan sherehe ya kwao.