screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,829
- 15,791
Kero yangu siku ya leo ni nyie mama ntilie, nianze kwa kudiclea interest kwamba mnatusaidia sana kutuhifadhi mjini kwa kutupatia shibe kwa bei chee, ila nimegundua mna tatizo sugu la kutoivisha chapati, yaani nyie chapati ikibadilika rangi kidogo tu mnaipua kwani munawahi wapi?
Tukiharisha mnatutelekeza, nadhani kuna haja ya mugambo au polisi kuingilia kati ikibidi wasimamie upishi wa vyapati.
Nawasilisha!
Tukiharisha mnatutelekeza, nadhani kuna haja ya mugambo au polisi kuingilia kati ikibidi wasimamie upishi wa vyapati.
Nawasilisha!