Nataka niote ndoto nzuri leo.. Nifanyejee?

Swahilian

JF-Expert Member
Apr 28, 2009
591
66
nataka niote bonge la ndotoo! siyo kijindoto cha kitoto' yaani kesho ukiniona aah! jitu hilo we kujigonga tu kwenye ugokoo' ndoto ndefu kama HESHIMA THABITI wa UCONN. Enh! cjui niote mafumbo na vitendawili ili wajue kiswahili hawa! lakini mmh! wakitegua kutalipuka na cjui watahamia wapi? ah! hiyo mbayaa! nataka ilee! ah! ya Obamaa mmh! ni poa ile enh! lakinii? si alishaota LUSAKINGI MATINI, pia yako inanivutia pia si ile ya misosii? ah! nilale tu
 
leo kutwa nzima practise mambo mazuri na fikiri sana ni namna gani pepo ilivyo.....kutwa nzima.....sio part of the day..kutwa nzima..

then kuota ndoooto ndeeeeeeeefu ni uongo maana ndoto ni dakika moja ikizidi unakufa....sasa sijui tukombee kwa stail gani.
 
Mimi naona ndoto yako imeshatimia,

Hayo maneno yako hapo juu yanakupa beti kama nne hivi, sasa cha msingi tafuta chorus then jazia instrument, nakuhakikishia utauza kitu hicho. Na hiyo ndiyo itakuwa ndoto ndefu sana na itakutoa vilevile!!!!! Changamkia
 
Kumbuka siku ya kwanza ulipokubaliwa penzi. Yaani jinsi ulivyoshushwa chap chap, jinsi huyo mpenzi alivyokusumbua,,,,jinsi kiuno kilivyokuuma wakati uanatongoza,,,,yaani kama ulikuwa bush majani mliyoyakata siku hiyo,,,,yaaaaaaaani yaaaaaaani cjui!
 
Ndoto yangu sasa inatimia'
kwani niliyowaza kila nkilala yanijia'
Nisomapo mliyoandika nasinzia'
Mmh! hizi ndoto zitajaza dunia'
Mwanzo nilidhani zanikimbia'
Kumbe zetu watanzania'

Wa kuimba nimekusikia'
Wa kiuno pia wankumbusha ukiwa
Nikikumbuka nyasi zilivyoumia'

Ama kweli ukistaajabu akhera utaona dunia'
Ndoto ni kama mashua
Ukipanda au ukiota zitakua'

Amani kwenu wanandoto dhahania'
Tuko pamoja kama kiyama na hii dunia'
Tukutane tena wabia!
 
nataka niote bonge la ndotoo! siyo kijindoto cha kitoto' yaani kesho ukiniona aah! jitu hilo we kujigonga tu kwenye ugokoo' ndoto ndefu kama HESHIMA THABITI wa UCONN. Enh! cjui niote mafumbo na vitendawili ili wajue kiswahili hawa! lakini mmh! wakitegua kutalipuka na cjui watahamia wapi? ah! hiyo mbayaa! nataka ilee! ah! ya Obamaa mmh! ni poa ile enh! lakinii? si alishaota LUSAKINGI MATINI, pia yako inanivutia pia si ile ya misosii? ah! nilale tu

HIYO MBONA SIMPO... KWANZA LALA NDIO UTAOTA...

LOl
 
ama kweli ukistaajabu akhera utaona dunia' ndoto ni kama mashua ukipanda au ukiota zitakua' amani kwenu wanandoto dhahania' tuko pamoja kama kiyama na hii dunia'

Nimependa usemi wako.

Shukran
 
nataka niote bonge la ndotoo! siyo kijindoto cha kitoto' yaani kesho ukiniona aah! jitu hilo we kujigonga tu kwenye ugokoo' ndoto ndefu kama HESHIMA THABITI wa UCONN. Enh! cjui niote mafumbo na vitendawili ili wajue kiswahili hawa! lakini mmh! wakitegua kutalipuka na cjui watahamia wapi? ah! hiyo mbayaa! nataka ilee! ah! ya Obamaa mmh! ni poa ile enh! lakinii? si alishaota LUSAKINGI MATINI, pia yako inanivutia pia si ile ya misosii? ah! nilale tu

Kajisaidie kabla ya kulala (preferably, haja kubwa)... kisha angalia picha za wale wote wanaosemekana mafisadi wakuu Tanzania. Ukiwa unaangalia kila picha, ifyonze na kujisemea moyoni moyoni kwa kumwambia kila fisadi kuwa "wewe utanyea kwenye debe Keko!" Ukimaliza hapo, wewe msujudu muumba wako kisha nenda kulala!!

Nakuhakikishia utaota mafisadi wote tumewasweka kwenye karandinga na kuwapeleka Keko!!! Now would that be a nightmare or a sweet dream?... Let your intepretations run wild!!
 
Natamani kukwambia jambo lakini, roho inasita, nway next time
 
Ndoto yangu sasa inatimia' kwani niliyowaza kila nkilala yanijia' nisomapo mliyoandika nasinzia' mmh! hizi ndoto zitajaza dunia' mwanzo nilidhani zanikimbia' kumbe zetu watanzania' wa kuimba nimekusikia' wa kiuno pia wankumbusha ukiwa nikikumbuka nyasi zilivyoumia' ama kweli ukistaajabu akhera utaona dunia' ndoto ni kama mashua ukipanda au ukiota zitakua' amani kwenu wanandoto dhahania' tuko pamoja kama kiyama na hii dunia' tukutane tena wabia!
nimeyapenda mashairi
 
Back
Top Bottom