Tanzanians lets talk more english...

kamalfareed

Member
Apr 26, 2010
9
0
its not that i'm not proud of our language, swahili is the best i rock it wherever i go, but on the international stage it just doesn't cut it. we need to speak more english, i noticed this is a language forum, but the inly language in here is swahili, (except for one which was abt swanglish).

lets speak more English, people.

LOVE U ALL AT JF....
 
Kweli kabisa; kwa kuanzia waweza kutusaidi kunyoosha kidhungu kilichopinda kwa kujitolea kutufundisha hapa?
 
no matter how we try lean english .those who try teach the should better know .english in TANZANIA - HAKIFUNDISHIKII-
 
hehe... i guess i could teach english...

Clemencemlai - kwanini kisifundishike?? kinafundishika sema tuu we dnt practice it once tunapofundishwa.
 
the teachers we have
the parents we have
the bosses we have
the friends we have
and tanzania we have
 
Hapa ndio ninapochoka na confusion za Taifa hili, Huku waziri wa elimu prf maghembe anayekijua kizungu sawasawa anatuambia tukazanie lugha, huku waziri wa information mkuchika anatuambia tusipofuata waraka wake wa kutumia kiswahili tutamkoma. Unafiki na ujuba waviongozi waliolewa madaraka mama Getrude Lwakatare aliuliza bungeni baada yakuona vituko vya vyuo vyetu vikuu kwenye Zain Challenge juu ya ubovu wetu kwenye lugha, of all the people waziri mkuku Pinda akathubutu kutamka kwamba wakenya hawana lolote sisi elimu yetu babu kubwa,can you imagine Pinda nae kalewa madaraka kawa kibaraka wa kutumalizia watoto wetu wanachotaka watoto wetu nao waendeleze uchifu wa utumwa kwa watoto wao. Sasa tumeshituka jamani hakikisha mtoto wako anasoma shule za lugha hizo za kata waachieni wapiga kura wao zinawatosha.
 
Yaelekea watanzania kila wanapojichunguza wana mazoea ya kujilinganisha na wengine. mara nyingi hujilinganisha na jirani wa upande wa kaskazini.
Haya basi ndo hao....next tuwaige nini? ubepari, rushwa, ukabila, na Sasa ulipuaji mabomu!
 
its not that i'm not proud of our language, swahili is the best i rock it wherever i go, but on the international stage it just doesn't cut it. we need to speak more english, i noticed this is a language forum, but the inly language in here is swahili, (except for one which was abt swanglish).
lets speak more English, people..

Sikubali. Heri Watanzania watangulie kujifunza kuongea na kuandika Kiswahili safi kwanza - baadaye wazoe lugha za nje.

a) Watanzania wanapenda kujisifu kuhusu Kiswahili - lakini hawawezi lugha nje ya mambo ya kila siku. Sikiliza kama Watanzania wanajaribu kujadiliana habari sayansi na teknolojia!

b) Watu wamataifa madogo kama Denmark (wasemaji wa Kidenmark milioni 5 na kitu), Lithuania (wasemaji wa Kilithuania milioni 3.5 hivi), watu wa Iceland (lugha yao ina wasemaji 0.3 millioni) wote wanaweza kuwasiliani na dunia kwa Kiingereza, Kufaransa, Kijerumani hata wengine kwa Kiswahili. Ila tu hawaambiani kati yao "Tuzidi kuongea Kiingereza!" maana wanajua kwa kupata mawazo safi ni muhimu kujua lugha ya nyumbani KWANZA.

c) Hao (ambao ni wachache kuliko Waswahili) wanaweza kujadiliana kati yao juu ya nadharia ya Einstein, matata ya hesabu ya Euklidi katika pembetatu na muziki ya Jazz kwa lugha zao bila matata - hata wanasoma habari hizi katika chuo kikuu kwa lugha yao!

Je nani kati ya Waswahili kutoka Tanania anaweza bili kukimbilia Kiingereza (mara nyingi kibaya)??????

Labda siri yao ni hakuna watu wanaotangaza "Lets talk more English" bila kuchekwa??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom