Habari zenu wana MMU,
Binafsi nimekuwa nikichanganywa na hizi kauli mbili;
1. Kutoa mahari
2. Kulipa mahari
Je, ipi ni kauli sahihi?
==================
Kutoa - huku ni kuhamisha umiliki wa...
ninauza vitabu kwa bei nafuu sana dictionary ya kiswahili na maperfect ya kiswahili kwa maelezo zaidi tembelea ukulasa wa fb http://anthony.yose1@facebook.com au piga simu namba 0765936964
Wapendwa natafuta kitabu cha hadithi kinachoitwa 'Mambo ya Ajabu Yaliyompata Allan Quatermain na Wenzake' tafsiri ya Kiswahili. Je, kuna sehemu yoyote ndani ya Tanzania nitakipata hiki kitabu?
Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa mti unaozaa machungwa unaitwa mchungwa na mti unaozaa maembe unaitwa mwembe(muembe) lakini mti unaozaa ndizi unaitwa mgomba kwa sababu ukipanda ndizi hautaota...
Haya wana Jamii F.Mwaambaje?Mie mgeni hapa ila nimepungwa sana na wana Jamii F.
MASWALI YANGU HAYA MNISAIDIE
1.University kwa Kiswahili ni nini?
2.sealing ile ya nyumba yatwaje Kiswahili?
Lahaja ya Kiunguja ndiyo ilo sanifishwa kuunnda Kiswahili kulingana na historia yake.Kulikuwepo na lahaja nyingine nyingi ikiwemo;Kimvita,Kijomvu,Kimtangata n.k.Ni sababu zipi hasa zilizochangia...
Bunge letu la Leo.
Kuna Mbunge amewaasi mawaziri wa maji wakazane, wabunge wengine wakaguna.
This is really low for someone sitting in a parliamentary house to interpenetrate things in a street...
Wakuu naomba mnisaidie hivi unaweza ukaishi UK kwa miaka zaidi ya mitano na ukawa haujui Kiingereza? Maana jana kuna jamaa yangu anaishi UK-Liverpool amekuja likizo sasa nikakaa naye akatokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.