Wekeni sawa hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wekeni sawa hili

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Kessy Hamisi, Jul 6, 2012.

 1. K

  Kessy Hamisi Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa mti unaozaa machungwa unaitwa mchungwa na mti unaozaa maembe unaitwa mwembe(muembe) lakini mti unaozaa ndizi unaitwa mgomba kwa sababu ukipanda ndizi hautaota mgomba je hii ni sahihi?
   
 2. M

  MJM JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mbona rahisi tu Mchungwa, mwembe, mpapai nk. zinatokana na mbegu za mmea wenyewe wakati mgomba unatokana na shina lake
   
 3. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mti unaozaa ndizi, unaitwa Mdizi. Ukitaka unauita Mgomba.
   
 4. li sheng

  li sheng Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 11, 2008
  Messages: 47
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mmhh hapa mtihani, mimi nakumbuka kuna ndizi zina mbegu, na nimewahi kusoma kwamba unaweza kupanda mgomba kwa mbegu za mgomba ambazo zimo ndani ya ndizi, hivyo ni kusema Si Sahihi, kwamba mgomba lazima upande shina.
  Naomba fungua kiambatanishi hichi kina maelezo na picha, kusibitisha maelezo yangu, Banana
  Ama hilo la Mdizi kuitwa mgomba ntalifanyia kazi kwa wazee.
  kama hujaridhika nipo kwa mjadala zaidi
   
Loading...