Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wanajamii naomba msaada wa kuandika muhtasari baada ya kupitishwa kwa katiba,pia msaada wa kuandika barua ya kuomba kusajili shirika katika wilaya
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. mazali 2. tumeshoka (sio tumechoka) 3. mitaala 4. "kulunafisini dhalkatul maut" 5. nyanja 6. mdau Asanteni sana!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi Laptop kwa kiswahili fasaha ni nini?
1 Reactions
28 Replies
34K Views
Ninapokutana na sentensi kama hili "Katika sherehe za kumsimika ofisini", huipita mbiombio kiaina nikidhani ni tusi. Wewe unalionaje?
1 Reactions
6 Replies
14K Views
Mtu asiyefunga mwezi wa Ramadhan huitwa KOBE. Swali: nini asili ya jina hili? Kuna uhusiano gani kati ya asiyefunga na mnyama kobe? Kwa nini asingeitwa NGURUWE kabisa kwasababu mnyama huyo ni...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
anayejua anambie
0 Reactions
20 Replies
12K Views
Salut Mon Amis! Jamani nahitaji mwalimu wa Kifaransa asap, wa online au/na offline! Merci beaucoup! PS. Mademoiselle RussianRoulette where are you? Je ne comprende pas Française! Moi voulez...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Samahani naomba msaada kuhusu tofauti ya maana ya sentensi hizi "I am going to the market" na "I am going to market"au "I am going to church" na "I am going to the church"
0 Reactions
7 Replies
2K Views
What is reliquary in KiSwahili? Reliquary - Wikipedia, the free encyclopedia Thank you ina advance
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mlabaha??.........au Mlahaba?? Maana naona waheshimiwa bungeni wanasema MLABAHA...sasa nilipi neno sahihi?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Jana nilkuwa nasikiliza online radio na Kafulila akachafua hali ya hewa kwa kutumia neno kubaka bahati mtandao ukawa dhaifu na sikuweza kuelewa mwisho wa malumbano na kiti. Naomba tulijadili hili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani kuna mtu kaniuliza neno la kiswahili linaloishia na FO ukiondoa neno kifo na fofofo. kama kuna yeyote anayefahamu anijuze
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Ningependa kujua maana ya neno "msia". Je, samaki aitwaye msia au mzia ni samaki gani?
0 Reactions
1 Replies
6K Views
being all that alive isn’t so much a good thing there’s the pressure you get from people who wishes you all the best and yet I puke out my sorrows in a bottle of shame all that I am isn’t the same...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Life is a b.i.t.c.h.......... At a lost for words not sure what to say Sick and tired of being sick and tired And struggling from day to day Seems Im surrounded by my enemies People who...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wana jf ninaomba mnipe neno moja la kiswahili kutoka kwenye neno lagoon ambalo ni la kiingereza
0 Reactions
2 Replies
4K Views
wana jf naomba mnipe maana ya hili neno la muarobaini kwa sababu nimekuwa nikilisikia likisemwa sana na watu
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wana JF. Jumamosi iliyopita wakati najiandaa kutoka nyumbani nilikuwa nawasilikisa wachambuzi wa lugha ya kiswahili kutoka BAKITA wakihojiwa na mtangazaji wa Radio One. Sehemu ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wana jf naomba sana tafsiri ya maneno hayo hapo juu! n.b cna kamus ,ndo maana nauliza!
0 Reactions
2 Replies
10K Views
When the winter of my heart throws its black coat on my stripped soul And when the bright shining stars Seem to me as dark as coal I hear a voice calling my name and whispering words of comfort...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom